25/09/2025
β¨ Fursa Plus Project β¨
Fursa Plus Project ni mpango unaoendeshwa na vijana wenye utaalamu wa kilimo, ufugaji na ujasiriamali, chini ya CETOSUDE.
Lengo kuu ni kutoa elimu ya kilimo-biashara, ufugaji wa kisasa na ujasiriamali wa vitendo ili kuondokana na kilimo cha mazoea na utegemezi wa ajira pekee.
π― Malengo ya Fursa Plus Project
β
Kuelimisha vijana na jamii kuhusu kilimo na ufugaji wa kisasa wenye tija
β
Kuwafundisha mbinu za kugeuza kilimo na ufugaji kuwa biashara
β
Kuwezesha watu kuunganishwa na masoko ya uhakika
β
Kufungua milango ya fursa mbalimbali za kiuchumi
β
Kuinua kipato na kupunguza umasikini kupitia elimu ya vitendo na darasani
π‘ Kwa nini Fursa Plus?
πΏ Tunatoa maarifa ya vitendo (practical skills) ya kilimo na ufugaji yanayoweza kutumika mara moja shambani, bandani na sokoni
πΏ Tunawaunganisha vijana na wadau wa kilimo, ufugaji, masoko na fursa za kifedha
πΏ Tunajenga jamii inayojitegemea, badala ya kutegemea ajira pekee
π± Kauli Mbiu Yetu:
βKilimo na Ufugaji wa Kibiashara, Ujasiriamali wa Vitendo β Fursa kwa Kila Mtu!β
π Karibu ujifunze, ushiriki na ufaidike na Fursa Plus Project.
π Tembelea: www.cetosude.or.tz
π© Wasiliana Nasi Moja kwa Moja kwa Taarifa Zaidi:
π Simu: 0621114769/0684772756
π§ Barua pepe: [email protected]