EAMCEF Tanzania

EAMCEF Tanzania EAMCEF is a Trust Fund established and functions as a long-term and reliable funding mechanism to support conservation, community development and researches.

Today, EAMCEF marks 25 years of dedicated efforts toward the conservation of the EAMs, a journey that began on 6 June 20...
06/06/2026

Today, EAMCEF marks 25 years of dedicated efforts toward the conservation of the EAMs, a journey that began on 6 June 2001, the day the Fund was established.
Over the years, EAMCEF has been actively committed to conserving the EAMs across four target regions; Morogoro, Iringa, Kilimanjaro, and Tanga. Its interventions have focused on 12 target districts: Kilolo DC, Morogoro DC, Mvomero DC, Mlimba DC, Morogoro MC, Ifakara TC, Same DC, Korogwe DC, Muheza DC, Mkinga DC, Lushoto DC, and Mufindi DC.
The EAMCEF’s conservation efforts prioritize nine Protected Areas: Udzungwa Mountains National Park and the Kilombero, Uzungwa Scarp, Mkingu, Amani, Nilo, Chome, Uluguru, and Magamba Nature Forest Reserves. A key focus has been improving the livelihoods of local communities living in the 244 villages adjacent to these Protected Areas.
Since its establishment, EAMCEF has worked closely with MNRT, TFS, Conservators, local communities, NGOs, CSOs, CBOs, Local Government Authorities, and other development partners to advance its mission and vision, ensuring that both the EAMs and the people who depend on them continue to thrive.
Please swipe left to learn more about our impact over the past 25 years. .aid

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki   unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri (LAC) za Halmashauri. A...
05/06/2026

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri (LAC) za Halmashauri.
Ambapo, leo tarehe 05/06/2026, kabla ya kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko Bw. Francis Sabuni, akiambatana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Bw. Yusto Mapande, pamoja na Maafisa wa , walitembelea Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Lushoto na kupata fursa ya kujadiliana na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Dkt. Anwari Milulu, masuala mbalimbali ya uhifadhi wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Magamba ikiwa ni pamoja na namna ya kuendelea kuboresha maisha ya jamii zinazoishi kandokando ya hifadhi hiyo kwa kuzipatia vyanzo mbadala vya kukidhi mahitaji yao ya kila siku ili kuendelea kupunguza utegemezi wa moja kwa moja wa rasilimali za hifadhi hiyo.
Aidha, baada ya majadiliano hayo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri aliungana na EAMCEF katika kikao cha kinachohusisha waheshimiwa Madiwani 10 na Wataalamu 10 kutoka Halmashauri ya Lushoto. Kikao hiki kimeendelea kuwa na tija kubwa sana kwani, pamoja na masuala mengine, taarifa za utekelezaji wa miradi ziliwasilishwa na kujadiliwa. Sambamba na hilo, ulifanyika uchaguzi wa wajumbe wa LAC watakaoshiriki katika kikao cha LAC Kanda ya Kaskazini, ambapo waheshimiwa Madiwani watatu walichaguliwa kuiwakilisha Halmashauri katika kikao hicho. .aid

As we join the world in celebrating World Environment Day under the theme, “Inspired by Nature. For the Climate. For Our...
05/06/2026

As we join the world in celebrating World Environment Day under the theme, “Inspired by Nature. For the Climate. For Our Future,” EAMCEF continues to give a voice to the invaluable flora and fauna of the EAMs while recognizing local communities as frontline conservation champions.

We believe that, every tree restored, every forest protected, and every community empowered is a step toward a climate-resilient future.

Our EAMs, our future for local communities, the nation, and the global community alike.

Please join EAMCEF in protecting nature today to secure a beautiful, healthy, and resilient tomorrow. .aid

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki   unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri (LAC) za Halmashauri. A...
04/06/2026

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri (LAC) za Halmashauri.
Ambapo, leo tarehe 03/06/2026, kabla ya kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko Bw. Francis Sabuni, akiambatana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Bw. Yusto Mapande, pamoja na Maafisa wa , walitembelea Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mkinga na kupata fursa ya kujadiliana na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bw. Erasto Kalisti, masuala mbalimbali ya uhifadhi wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Nilo ikiwa ni pamoja na namna ya kuendelea kuboresha maisha ya jamii zinazoishi kandokando ya hifadhi hiyo kwa kuzipatia vyanzo mbadala vya kukidhi mahitaji yao ya kila siku ili kuendelea kupunguza utegemezi wa moja kwa moja wa rasilimali za hifadhi hiyo.
Aidha, baada ya majadiliano hayo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri pamoja na mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Ayoub Mrisho waliungana na EAMCEF katika kikao cha kinachohusisha waheshimiwa Madiwani 10 na Wataalamu 10 kutoka Halmashauri ya Mkinga.
Kikao hiki kimeendelea kuwa na tija kubwa sana kwani, pamoja na masuala mengine, taarifa za utekelezaji wa miradi ziliwasilishwa na kujadiliwa. Sambamba na hilo, ulifanyika uchaguzi wa wajumbe wa LAC watakaoshiriki katika kikao cha LAC Kanda ya Kaskazini, ambapo waheshimiwa Madiwani watatu walichaguliwa kuiwakilisha Halmashauri katika kikao hicho.
.aid

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki   unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri (LAC) za Halmashauri. A...
02/06/2026

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri (LAC) za Halmashauri.
Ambapo, leo tarehe 02/06/2026, kabla ya kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko Bw. Francis Sabuni, akiambatana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini, Bw. Yusto Mapande, pamoja na wataalamu wa , walitembelea Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Korogwe na kupata fursa ya kujadiliana na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo, Bw. Changoma Sebastian, masuala mbalimbali ya uhifadhi wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Nilo, Amani na Magamba ikiwa ni pamoja na namna ya kuendelea kuboresha maisha ya jamii zinazoishi kandokando ya hifadhi hizo kwa kuzipatia vyanzo mbadala vya kukidhi mahitaji yao ya kila siku ili kuendelea kupunguza utegemezi wa moja kwa moja wa rasilimali za hifadhi hizo.
Aidha, baada ya majadiliano hayo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri pamoja na mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Ayoub Mrisho waliungana na EAMCEF katika kikao cha kinachohusisha waheshimiwa Madiwani 10 na Wataalamu 10 kutoka Halmashauri ya Korogwe.
Kikao hiki kimeendelea kuwa na tija kubwa sana kwani, pamoja na masuala mengine, taarifa za utekelezaji wa miradi ziliwasilishwa na kujadiliwa. Sambamba na hilo, ulifanyika uchaguzi wa wajumbe wa LAC watakaoshiriki katika kikao cha LAC Kanda ya Kaskazini, ambapo waheshimiwa Madiwani watatu walichaguliwa kuiwakilisha Halmashauri katika kikao hicho. .aid

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki ( ) unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri ( ) za Halmashauri. L...
01/06/2026

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki ( ) unaendelea kufanya vikao vya Kamati za Ushauri ( ) za Halmashauri. Leo, tarehe 01/06/2026, kabla ya kikao hicho, Mkurugenzi Mtendaji, akiambatana na Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini pamoja na wataalamu wa , walitembelea Ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Tanga na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza.

Aidha, katika ziara hiyo, masuala mbalimbali ya uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki yalijadiliwa, na makubaliano ya kuendeleza ushirikiano huo yaliendelea kupewa msisitizo ili kuhakikisha kuwa Hifadhi ya Mazingira Asilia Nilo na Amani, pamoja na jamii zinazoishi kandokando ya hifadhi hizo, zinaendeleza uhifadhi na zinaendelea kunufaika na jitihada hizo kwa kujipatia vyanzo mbadala vya mahitaji yao ya kila siku ili kupunguza utegemezi wa moja kwa moja katika maeneo ya hifadhi.

Vilevile, baada ya majadiliano hayo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri na mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa waliungana na EAMCEF katika kikao cha ambapo, pamoja na masuala mengine, walipokea taarifa za utekelezaji wa miradi na kuwachagua wajumbe wa LAC watakaoshiriki katika kikao cha LAC Kanda ya Kaskazini. .aid

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki   umekuwa ukishirikiana kwa ukaribu na Halmashauri ya Wilaya ya Same tan...
29/05/2026

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki umekuwa ukishirikiana kwa ukaribu na Halmashauri ya Wilaya ya Same tangu mwaka 2012 kwa kufadhili miradi mbalimbali ndani ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Chome (CNFR) na nje kwa jamii zinazoishi kando kando ya hifadhi hiyo.
Aidha, katika kuongeza tija, uwazi, uwajibikaji na umiliki wa moja kwa moja wa miradi hiyo, EAMCEF kupitia Kamati ya ushauri (LAC) ya Halmashauri ya Same, leo tarehe 29/05/2026 imefanikiwa kufanya kikao cha pamoja na Kamati hiyo. Ambapo, yamejadiliwa maswala mbalimbali ya kuendeleza uhifadhi, kupokea taarifa za utekelezaji wa miradi, kupata wajumbe wa LAC watakaowakilisha katika kikao cha Kanda ya kaskazini.
inaendelea kutoa shukrani za dhati kwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na RAS Kilimanjaro, Mkurugenzi na watendaji wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Wizara ya Maliasili na Utalii, Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), Jamii, pamoja na Wadau wote wa maendeleo kwa mchango wao mkubwa kuhakikisha kuwa CNFR inaendelea kuwa na uhifadhi thabiti na miradi ya jamii inaendelea kutekelezwa vyema na kuleta manufaa chanya kwa jamii ikiwa ni pamoja na kuwapatia vyanzo mbadala vya kipato, chakula, matunda, protini na kupunguza matumizi ya kuni ili kuondoa utegemezi wa moja kwa moja wa mahitaji yao ya kila siku kutoka CNFR. .aid

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki (EAMCEF) unaendelea kutoa shukrani za dhati kwa Serikali, Jamii na Wadau...
28/05/2026

Mfuko wa Uhifadhi wa Milima ya Tao la Mashariki (EAMCEF) unaendelea kutoa shukrani za dhati kwa Serikali, Jamii na Wadau mbalimbali wa maendeleo kwa mchango wao mkubwa katika juhudi za uhifadhi wa Misitu ya Mazingira Asilia, pamoja na kuboresha maisha ya jamii zinazoishi kandokando ya Milima ya Tao la Mashariki kwa mchango wao mkubwa katika kuisimamia miradi inayotekelezwa yenye lengo la kuzipatia jamii hizo vyanzo mbadala vya kukidhi mahitaji yao ya kila siku.

Katika kuendeleza ushirikiano huo, leo tarehe 28/05/2026 EAMCEF imetembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa (RC) pamoja na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa (RAS) wa Kilimanjaro. Aidha, katika ziara hiyo yamejadiwa masuala mbalimbali muhimu, ikiwa ni pamoja na maandalizi ya vikao vya Kamati za Ushauri za Halmashauri (LAC) vinavyotarajiwa kuanza kesho.

EAMCEF inaendelea kujivunia kiwango kikubwa cha ushirikiano kutoka kwa Serikali na Wadau wake, kwa kuendelea kuhakikisha kuwa rasilimali za Misitu ya Mazingira Asilia zinaendelea kutunzwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya kizazi cha sasa na cha baadae.
.aid

27/05/2026

As we celebrate World Bee Day under the theme ‘Bee Together for People and the Planet – A Partnership That Sustains Us A...
20/05/2026

As we celebrate World Bee Day under the theme ‘Bee Together for People and the Planet – A Partnership That Sustains Us All,’ EAMCEF highlights how partnerships among communities, conservation stakeholders, and nature can create lasting benefits for both people and the environment.

From 2006–2025, EAMCEF proudly worked with local communities across the Eastern Arc Mountains (EAMs) to promote sustainable beekeeping as a livelihood opportunity and a Nature based Solution (NbS) that benefits both people and nature.

Together, we have supported 130 beekeeping groups, reached 65 villages, engaged 2,600 community members, and installed 4,095 beehives. These efforts resulted in the harvesting of 92,950 kg of honey and the production of 845 kg of beeswax. In addition, 45 early adopters were motivated and now collectively own 90 beehives. More importantly, community members have collectively generated an income of TZS 1,155,035,000.

These achievements demonstrate how partnerships can sustain livelihoods, strengthen local economies, support forest conservation, and protect the ecosystems upon which both bees and people depend.
When communities and conservation work hand in hand, both people and the planet thrive.

Please join EAMCEF in supporting the conservation of the EAMs. COME ONE, COME ALL.





Address

Morogoro
6053

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255 23 261 3660

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAMCEF Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to EAMCEF Tanzania:

Share