14/08/2026
Katika kuadhimisha Siku ya Vijana Duniani tarehe 12 Agosti 2026,Care Youth Foundation iliandaa Jukwaa la vijana kutoka Vyuo vikuu wanaofanya mafunzo k
wa vitendo kujadiliana kwa pamoja baadhi ya changamoto zinazowakabili vijana wa sasa na kubaini njia au mbinu za kubadili fursa Kwa vijana "Changamoto za jamii ni fursa na ufunguo wa kujikwamua." Nukuu ya vijana