Bhassa_tanzania

Bhassa_tanzania BHASSA TANZANIA is a youth and women-led (Y&WL) NGO Registered to operate in Tanzania mainland.

Today we celebrate the International Day of Persons with Disabilities! πŸŒπŸ’™We believe in a world of equality, where everyo...
03/12/2025

Today we celebrate the International Day of Persons with Disabilities! πŸŒπŸ’™
We believe in a world of equality, where everyone is valued, fully included, and has the opportunity to lead, inspire, and drive change.
Let’s work together to ensure our society embraces everyone, leaving no one behind. πŸ’ͺ✨

Leo tunaungana na dunia kuanza Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia.Tunapaza sauti dhidi ya ukatili katika mifumo yote...
25/11/2025

Leo tunaungana na dunia kuanza Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia.
Tunapaza sauti dhidi ya ukatili katika mifumo yote majumbani, kazini, mitaani na mtandaoni.
Ulinzi, usawa na heshima ni haki ya kila mtu.

🟧 Kaulimbiu ya Mwaka 2025:
β€œTuwe Pamoja Kumaliza Ukatili wa Kidijitali Dhidi ya Wanawake na Wasichana Wote.”

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Leo, BHASSA TANZANIA inaungana na Watanzania wote kumkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiongozi...
14/10/2025

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Leo, BHASSA TANZANIA inaungana na Watanzania wote kumkumbuka Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kiongozi wa mfano, mwenye maono na uadilifu.
🧠Fikra zake juu ya utu, usawa na huduma kwa jamii zinaendelea kuishi kupitia kazi zetu za kuimarisha afya, haki na maendeleo ya kijamii.
✊🏾 Tunaenzi urithi wake kwa vitendo tukiwashirikisha vijana, wanawake na jamii katika kujenga Tanzania yenye haki, amani na maendeleo endelevu.

πŸ’œ Siku ya Wasichana Duniani 2025 – Tumesherehekea! πŸ’œBHASSA TANZANIA tumeungana na wasikilizaji wetu kwenye kipindi maalu...
11/10/2025

πŸ’œ Siku ya Wasichana Duniani 2025 – Tumesherehekea! πŸ’œ
BHASSA TANZANIA tumeungana na wasikilizaji wetu kwenye kipindi maalumu cha redio Abood FM kuadhimisha Siku ya Wasichana Duniani.
Tumezungumzia:
✨ Kuhamasisha sera ya kurudi shuleni
✨ Mifumo ya Kisheria na Afya ya Uzazi (SRH)
✨ Nafasi ya wasichana kushiriki katika mabadiliko chanya
Shukrani kwa wote waliotupa muda wakiungana nasi! πŸ’œ Huu ni mwanzo tu wa safari ya kuendelea kuhamasisha haki, elimu, na uongozi wa wasichana.

πŸ“Œ OCA & OCD Week!BHASSA TANZANIA proudly hosted the Organizational Capacity Assessment (OCA) and Organizational Capacity...
03/09/2025

πŸ“Œ OCA & OCD Week!
BHASSA TANZANIA proudly hosted the Organizational Capacity Assessment (OCA) and Organizational Capacity Development (OCD) sessions conducted by .
We engaged in through assessments, identified gaps, and strengthened our strategies for better service delivery and organizational growth.
Together, we are building a stronger, more impactful BHASSA TANZANIA! πŸ’ͺ

🌍 Afya bora ni haki ya kila mtu!BHASSA TANZANIA tunaunga mkono juhudi za Tanzania Albinism Society  katika kuandaa Klini...
22/08/2025

🌍 Afya bora ni haki ya kila mtu!
BHASSA TANZANIA tunaunga mkono juhudi za Tanzania Albinism Society katika kuandaa Kliniki za Ngozi kwa watu wenye Ualbino zitakazofanyika mkoa wa Morogoro mwezi wa Septemba.

πŸ‘‰ Usikose tarehe na kituo kilicho karibu nawe.
🀝 Tafadhali sambaza taarifa hii kwa ndugu, jamaa na marafiki ili iwafikie wengi zaidi wenye uhitaji.

BHASSA TANZANIA inawatambua na kuwapongeza wakulima wote kwa mchango wao mkubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na...
08/08/2025

BHASSA TANZANIA inawatambua na kuwapongeza wakulima wote kwa mchango wao mkubwa katika kuhakikisha usalama wa chakula na maendeleo ya jamii. Tunasherehekea kazi yao ya kila siku inayolisha taifa na kuimarisha uchumi wetu.

Heri ya Siku ya Wakulima Duniani!



BHASSA Tanzania inasimama na mama wa Kitanzania katika kuhakikisha kila mtoto anapata haki yake ya msingi ya kula maziwa...
05/08/2025

BHASSA Tanzania inasimama na mama wa Kitanzania katika kuhakikisha kila mtoto anapata haki yake ya msingi ya kula maziwa ya mama. Wiki hii ya Unyonyeshaji Duniani, tunahimiza jamii yote β€” familia, waajiri, na vijana β€” kulinda na kuunga mkono mazingira salama kwa mama kunyonyesha.
βœ… Maziwa ya mama ni kinga bora ya afya kwa mtoto
βœ… Hupunguza hatari ya magonjwa kwa mtoto na mama
βœ… Jamii yenye watoto wenye afya ni jamii yenye maendeleo
🀝 Tuendelee kushirikiana kwa afya endelevu ya jamii yetu.




Repost from  Day Three of Tanzania IndabaX πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - the days are winding down πŸ—“οΈ but the engagement πŸ™ŒπŸ½ is still ramping up!I...
02/08/2025

Repost from Day Three of Tanzania IndabaX πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - the days are winding down πŸ—“οΈ but the engagement πŸ™ŒπŸ½ is still ramping up!

In β€œAI Compute: Join the Launch of the Compute Economy”, Dan Desjardins, PhD, directly spoke to the challenge of scarcity and complexity of computing power πŸ’ͺ🏽 for local AI innovation 🧠. Distributive offers a game-changing solution: a fair web-native C/GPU sharing network with the potential to create locally-driven economies of compute power. πŸ’‘ βš™οΈ

We at Data Safari were proud to demo our AI Wizards approach to AI literacy, using Orange Data Mining to visually teach concepts such as word embeddings, next word prediction, and classification decision boundaries - hands-on, intuitive, fun! πŸ‘©πŸ½β€πŸ’» πŸ₯³

Innocent Charles and Fredy German Mgimba continued supporting the tool challenges from .ai and Twiga with code demos and starting tips. We were thrilled to see participants engaging and asking the right questions!

Thank you to Dr. Kadeghe G Fue, Ph.D. for supporting the IndabaX SUA Hub for another year - great to have a photo with you!



Address

Modeco B Street
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bhassa_tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share