DDS Community Development Organization

DDS Community Development Organization DDS Community Development Organization was established by the Anglican Church of Tanzania Diocese of

Shirika la DDS CDO likitoa mafunzo maalum kwa wakulima viongozi kuhusu ukusanyaji wa data vijijini kwa kutumia programu ...
29/04/2026

Shirika la DDS CDO likitoa mafunzo maalum kwa wakulima viongozi kuhusu ukusanyaji wa data vijijini kwa kutumia programu ya KoboCollect, yanayofanyika katika Manispaa ya Morogoro chini ya uongozi wa Mkurugenzi wa shirika Rev Can Dan Deuli, yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo washiriki (wakulima wadogo) kutumia teknolojia ya kisasa katika kukusanya, kusimamia na kuchambua taarifa muhimu za kilimo na maendeleo ya jamii, hivyo kuboresha ufanisi wa mipango na maamuzi katika maeneo yao.

Mafunzo kwa wakulima viongozi  28 kutoka katika wilaya ya Mvomero, Gairo na Kilosa, Yanayo husu ukusanyaji wa taarifa mb...
29/04/2026

Mafunzo kwa wakulima viongozi 28 kutoka katika wilaya ya Mvomero, Gairo na Kilosa, Yanayo husu ukusanyaji wa taarifa mbalimbali kidijitali katika jamii kwa kutumia KOBO-COLLECT TOOL, yanayo fanyika Morogoro.

Digital data collection training for participatory monitoring   in the project villages. Village Lead Farmers in Morogor...
29/04/2026

Digital data collection training for participatory monitoring in the project villages. Village Lead Farmers in Morogoro of Integrated Community Development Programme (I CDP).

For more information please contact 0783180038
25/02/2025

For more information please contact 0783180038

Address

Anglican Church
Morogoro

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255756912090

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DDS Community Development Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to DDS Community Development Organization:

Share