YODSO-Youth Dreams Support Organization

YODSO-Youth Dreams Support Organization Ndoto ni Muhimu kwa watu wote"

Sasa tunakufundisha program muhimu za ujuzi wa kujiajiri

Kuna wakati tunawindwa k**a sungura, nikwasababu ya utamu wa vinavyopatikana ndani yetu, ukiwindwa zidi kujilinda kwa fu...
08/10/2024

Kuna wakati tunawindwa k**a sungura, nikwasababu ya utamu wa vinavyopatikana ndani yetu, ukiwindwa zidi kujilinda kwa furaha ukiamini kwamba WEWE NI ZAIDI YA mnyama pori mwenye thamani sana awindwae sana.
MUNGU AWE UZIO WAKO

MUNGU ni mwaminifu katika ahadi zake. Haijalishi umekosea Kwa namna Gani,
01/09/2024

MUNGU ni mwaminifu katika ahadi zake. Haijalishi umekosea Kwa namna Gani,

23/11/2023

Habari njema kwa wanaomaliza Form Four 2023.
Pata mafunzo yafuatayo.
Mapishi aina zote, saluni na mapambo, cherehani, computer na English course, Uselemala, umeme wa majumbani, ujenzi wa nyumba na ufundi rangi.
MUDA: Miezi 6.
Huduma ya hostel, maji, umeme, sare, na vifaa vitapatikana.
CHAKULA UNAJITEGEMEA NA GODORO. GHARAMA NI LAKI MBULI TU, 200,000/=. MIEZI YOTE SITA. mafunzuo haya Ni ya ufadhili

YODSO- youth Dreams Support Organization. On how it works to prepare for the future youth.
15/11/2023

YODSO- youth Dreams Support Organization. On how it works to prepare for the future youth.

12/10/2023

TAASISI YA ""YOUTH DREAMS SUPPORT ORGANIZATION""
imeandaa program ya prepare yourfuture, kuanzia *DECEMBER 2023-MAY 2024*
Kutoa ujuzi kwa vijana 100 manispaa ya MOROGORO *BURE kwa miezi 6*
*Changia vifaa K**a cherehani, kompyuta na misumeno kufanikisha zoezi Hilo, au mchango kwa kutumia AIRTEL *LIPA NAMBA 1298211* jina DREAMS SUPPORT ORGANIZATION* kwa Taarifa zaid contact 0783200565 or Email [email protected]
Karibuni Sana.

 For better tomorrow, investment should be done to children
23/09/2023



For better tomorrow, investment should be done to children

Youth empowerment initiative
25/03/2023

Youth empowerment initiative

Vijana wakipata ujuzi wa Ususi
25/03/2023

Vijana wakipata ujuzi wa Ususi

Caring Children for future development
25/03/2023

Caring Children for future development

15/03/2023

We are here for youth supporting
Dreams boosting through small skills Support

Address

Youthdreams. Org@gmail. Com
Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YODSO-Youth Dreams Support Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to YODSO-Youth Dreams Support Organization:

Share