Msomi Huru Foundation

Msomi Huru Foundation Quality education||Talents innovations|| Charity support

Sisi kazi yetu ni kukupatia kilichobora.Tupigie simu: 0764 987 588Morogoro - Tanzania
04/08/2025

Sisi kazi yetu ni kukupatia kilichobora.

Tupigie simu: 0764 987 588

Morogoro - Tanzania

Tarehe 29 Machi, 2025 (Jumamosi) tulifanikiwa kutembelea kituo cha watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu cha ...
31/03/2025

Tarehe 29 Machi, 2025 (Jumamosi) tulifanikiwa kutembelea kituo cha watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu cha Mkundi Mission for Homeless Children (MHC).

Ahsanteni sana kwa kila aliyeshiriki kwa mchango wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli hii.

Shukrani nyingi sana kwa wadhamini wetu wa shughuli hii kampuni ya

πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘

 ✨Mwenzetu  amethibitisha ushiriki wakeKaribu tushiriki pamoja baraka hizi.Ni tarehe 22 - 03 - 2025 ⏰Katika kituo cha ku...
22/02/2025

✨

Mwenzetu amethibitisha ushiriki wake

Karibu tushiriki pamoja baraka hizi.

Ni tarehe 22 - 03 - 2025 ⏰

Katika kituo cha kulelea watoto yatima na wenye mahitaji maalumu Raya Islamic Orphanage Center.

Unaweza kushiriki kupitia M-PESA:

0793125635

MSOMI HURU FOUNDATION

Nyote Mnakaribishwa Sana!

πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘

Tunaendelea tulipoishia πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Je, upo tayari? πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘
06/05/2024

Tunaendelea tulipoishia πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Je, upo tayari?

πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘

Taasisi ya  imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa kwanza wa Msomi...
02/12/2023

Taasisi ya imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa kwanza wa Msomi Huru Foundation Ndugu Ismail Ally Ismail kilichotokea Tabora kwa ajali ya basi.

Taasisi ya Msomi Huru Foundation itaukumbuka mchango wa marehemu Ismail Ally Ismail kwa moyo wake wa kujitoa na kuwajibika.

Aidha, taasisi inaenzi na kukumbuka ubunifu wake ambao ulitukuka katika kipindi chote cha utumishi wake ndani ya taasisi.

Bwana ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.

Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, Jina lake LihimidiweπŸ™πŸ™πŸ™

Happy New Month to all🀩🀩🀩 πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘
01/07/2023

Happy New Month to all🀩🀩🀩

πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘

Mwanzoni mwa juma hili (tarehe 26-27 Juni, 2023) taasisi ya  iliweza kushiriki maadhimisho ya kigoda cha Mwalimu JK Nyer...
30/06/2023

Mwanzoni mwa juma hili (tarehe 26-27 Juni, 2023) taasisi ya iliweza kushiriki maadhimisho ya kigoda cha Mwalimu JK Nyerere ambayo yalifanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Katika maadhimisho hayo, iliwakilishwa na Ndugu ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi.

πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘

We wish all Muslims Eid El Adha  πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘
29/06/2023

We wish all Muslims Eid El Adha

πŸ”₯πŸ’ͺπŸ‘

TUKIO LA SHUKRANI KWA MWENYEZI MUNGU - CHARITY EVENTIkiwa umebahatika kuuona mwezi huu wa Sita ambao unakamilisha nusu y...
01/06/2023

TUKIO LA SHUKRANI KWA MWENYEZI MUNGU - CHARITY EVENT

Ikiwa umebahatika kuuona mwezi huu wa Sita ambao unakamilisha nusu ya kwanza ya mwaka 2023 ukiwa hai, ni jambo la kumpatia Mungu utukufu na bila Shaka sisi sote tunao wajibu wa kuonesha kwamba tunatambua msaada wake kwetu ambao ametusaidia hata sasa tumeweza kufika hatua hii.

Ungana sasa na taasisi yako pendwa kabisa inayoshughulikia Elimu na Vipaji kwa kushiriki tukio hili lenye kumpa Mungu utukufu.

Shiriki Nasi Sasa Kwenye Kutoa Sadaka Zetu Kwa Watoto Yatima na Wenye Uhitaji Katika Kituo Cha β€˜Mkundi Mission for Homeless Children’ kilichopo Morogoro.

Mahitaji
01. Nguo
02. Madaftari
03. Kalamu
04. Taulo za K**e
05. Viatu
N.k.

Pia, kwa wale washiriki ambao wanahitimu elimu kwenye vyuo vyao, watapatiwa vyeti vya utambuzi kwa mchango wao ndani ya Taasisi na Taifa kwa ujumla.

Shiriki kwa Kadiri Utakavyoguswa na Mungu Akubariki Sana πŸ™πŸ™πŸ™

Mawasiliano:
0713 341 832 Atanas Utavangu -Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi (MHF)
+255 768 048 214 Kileo Mwaipaja- Katibu Mkuu (MHF)

065 344 0907 Saada Mfumbi - Mhasibu (MHF)

30/05/2023

Address

Mzumbe
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msomi Huru Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share