Center for Youth Dialogue

Center for Youth Dialogue We envision a world where all people, especially youth, hold the power to create and have equal access to social and economic opportunities.

Mapema leo, CYD tumepokea tuzo kutoka kwa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ( .hmwinyi ), Rais wa Awamu ya Nane wa Serikali ya...
10/08/2025

Mapema leo, CYD tumepokea tuzo kutoka kwa Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ( .hmwinyi ), Rais wa Awamu ya Nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kutambua mchango wetu katika kufanikisha upatikanaji wa huduma za usajili wa matukio ya kijamii kwa wananchi wote waliokidhi vigezo.

Ujio wa tuzo hii ni matokeo ya safari ya muda mrefu ya kushirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar kusogeza huduma hizi karibu na wananchi, kutatua changamoto zilizokuwepo, na kuboresha mifumo ili kila mmoja afikiwe bila ubaguzi.

Tuzo hii, iliyopokelewa na Mkurugenzi wetu Bw. Hashim Pondeza, ni ishara ya dhamira yetu ya kuendeleza haki na ujumuishi wa makundi yote katika safari ya kufikia maendeleo ya kweli. 🌍💙

Shukran kwa wadau wote ambao walifanya kazi nasi kwa ukaribu ili kufanikisha juhudi hizi;

Cc:

Address

Zanzibar
Mombasa

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 07:30 - 16:30
Wednesday 07:30 - 17:00
Thursday 07:30 - 16:30
Friday 07:30 - 14:00

Telephone

+255 242 236 668

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Center for Youth Dialogue posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Center for Youth Dialogue:

Share