01/10/2025
Uharibu wa mazingira unaosababishwa na shughuli za kibinadamu una gharama na athari kwa jamii. Jinsi ya k**e kwa kiasi kikubwa huathiriwa zaidi na madhara yatokanayo na uharibifu huo. Ushiriki wa wanawake na wasichana ni muhimu katika utunzaji wa mazingira na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Tunza mazingira kwa manufaa ya kizazi cha leo na kizazi kijacho.
Sida - Styrelsen för Internationellt Utvecklingssamarbete
Tanzania Forest Services Agency
BRAC Maendeleo Tanzania
Environmental Defense Fund
Canada’s International Trade - Global Affairs Canada
Embassy of Denmark in Tanzania
Youth Environmental Opportunities