Social Information and Facilitation Organization

Social Information and Facilitation Organization SIFO is a non profit organization registered on 2012 under the NGO act no. 24 of the year 2002.

We focus on Youth livelihood, Human rights and Good Governance, Policy awareness to communities.

25/09/2025

KURA YAKO NI HAKI YAKO, JITOKEZE KUPIGA KURA

UCHAGUZI MKUU, 29 OKTOBA 2025.

Wanawake na Wasichana Kata ya Vikindu Wilayani Mkuranga wako tayari kujitokeza kugombea nafasi za uongozi katika Uchaguz...
24/09/2024

Wanawake na Wasichana Kata ya Vikindu Wilayani Mkuranga wako tayari kujitokeza kugombea nafasi za uongozi katika Uchaguzi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba, 2024. Hamasa hiyo imejitokeza wakati wa mkutano wa majadiliano juu ya changamoto za ushiriki wa wanawake na wasichana katika kugombea nafasi za uongozi, ulioendeshwa na Social Information and Facilitation Organization (SIFO) kupitia Mradi wa Mwanamke Kiongozi unaofadhiliwa na Women Fund Tanzania Trust, WFT Trust

Address

Mkuranga

Telephone

+255712277255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Social Information and Facilitation Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Social Information and Facilitation Organization:

Share