Pwamao Pwani

Pwamao Pwani afya na mazingiara

Tafadhali mjulishe na mwingine
17/06/2025

Tafadhali mjulishe na mwingine

Mti wangu kumbu kumbu yangu
29/09/2024

Mti wangu kumbu kumbu yangu

Future ready summit
23/02/2024

Future ready summit

Karibu kwenye mikopo ya dawa isiyo na riba kwa haraka pia
19/02/2024

Karibu kwenye mikopo ya dawa isiyo na riba kwa haraka pia

Pwamao rafiki wa afya yako
19/02/2024

Pwamao rafiki wa afya yako

Uzinduzi wa mikopo ya dawa kwa wenye zahanati,maduka ya dawa na maabara,usiuze tena hakuna piga no 0759303030 tutakufiki...
10/02/2024

Uzinduzi wa mikopo ya dawa kwa wenye zahanati,maduka ya dawa na maabara,usiuze tena hakuna piga no 0759303030 tutakufikia popote TANZANIA "kwa pamoja tuwezeshe mtaji wa dawa na vifaa tiba"

Uzinduzi wa mikopo ya dawa SAsa imezinduliwa karibuni sana usiuze hakuna piga no 0759303030
09/02/2024

Uzinduzi wa mikopo ya dawa SAsa imezinduliwa karibuni sana usiuze hakuna piga no 0759303030

Karibuni sana muda kuanzia Saa tatu asubuhi
31/01/2024

Karibuni sana muda kuanzia Saa tatu asubuhi

Wakati wako ni sasa njoo uinue mtaji wako utoe huduma kwa uhakika mikopo ya dawa isiyo na riba na kwa bei ile ile ,haija...
26/01/2024

Wakati wako ni sasa njoo uinue mtaji wako utoe huduma kwa uhakika mikopo ya dawa isiyo na riba na kwa bei ile ile ,haijalishi upo wapi jambo la kizingatia uwe na sehemu ya kutolea dawa yenye baraka toka mamlaka husika

TAFADHALI JIANDIKISHE KUSHIRIKI,ASANTEPWANI MEDICATION AWARENESS ORGANIZATION (PWAMAO)JINA LA MRADI: KWA PAMOJA TUONGEZE...
25/01/2024

TAFADHALI JIANDIKISHE KUSHIRIKI,ASANTE

PWANI MEDICATION AWARENESS ORGANIZATION (PWAMAO)

JINA LA MRADI: KWA PAMOJA TUONGEZE MTAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA

WALENGWA: WAMILIKI WA DUKA LA DAWA MUHIMU, LAB, FAMASI, MARTENITY CLINIC NA ZAHANATI.

UTAMBULISHO

Shirika la Pwamao lilianzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa mwaka 2019 kwa namba za usajili 15NGO/R/0645, Shirika hili lilianzishwa kwa madhumuni yafuatayo:-

1. Kutoa elimu ya afya

2. Kuhamasisha uzingatiaji wa ubora wa dawa na utunzaji mazingira

3. Kuongeza tija katika biashara ya Duka la Dawa Muhimu (DLDM) kwa kutoa mafunzo ya biashara, vitendea kazi na kuwaunganisha wamiliki wa asasi za mitaji/Fedha pia wasambazaji wa dawa na vifaa tiba.

4. Kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya dawa.

5. Kutoa elimu jinsi ya kuendesha duka la dawa muhimu(DLDM), Lab, Famasi, Martenity Clinic na Zahanati Kidigitali.

JAMBO LINALOPELEKEA MRADI KUFANYIKA

Swala la ukosefu wa dawa kwenye maduka ya dawa muhimu, zahanati na martenity clinic limekosa ufumbuzi kwa muda mrefu jambo ambalo linapelekea kudumaa kwa utoaji wa huduma za afya.

Kwa kuliona hilo PWAMAO tukishirikiana na wadau wengine wa afya tumeona vyema kutafuta ufumbuzi wa jambo hili kwa kuwaunganisha wadau wa afya na wasambazaji wa dawa na maduka ya jumla, taasisi za fedha (benki) kwa kutoa mikopo nafuu kwa wahitaji wa huduma hii.

PROGRAMU ZITAKAZOTUMIKA

1. Kuandaa mikutano ya wadau na kutambulisha mradi

2. Kwa kushirikiana na makampuni ya simu kupitia huduma za fedha tutaunda vikundi vikundi vidogo vya vikoba vya mtandaoni ambapo huduma za kifedha za mitandaoni zitatumika kupokelea marejesho ambapo kampuni husika itakuwa na mwakilishi wake atakae kua anaona kila hatua za miamala ya huduma za kifedha

3. Kwa kushirikiana na mamlaka za serikali tutahamasisha wadau wa afya kutumia huduma hii ya mikopo ya dawa ili tuweze kuwafikia wahitaji

4. Malipo yatakuwa kila siku kupitia huduma za kifedha za makampuni ya simu.

5. Kutoa elimu ya ujasiliamali na kutunza kumbukumbu za biashara kwa wadau wa afya kidigitali.

MALENGO YA MRADI

· Kupunguza ukosefu wa dawa kwenye maduka ya dawa na vituo vyote vya kutolea huduma.

· Kukuza mitaji ya wadau wa afya kupelekea kwa upatikanaji wa huduma ya uhakika.

· Kuendesha Biashara Kidigitali Kutumia Mifumo.

Tarehe ya Uzinduzi wa Mradi: 03/02/2024

Mahali: Venue Flex Garden,Kiguza

Muda:Saa 4 asubuhi Hadi saa 8 mchana

Mawasiliano: 0759 303 030 / 0682 432 429



JINA LA MRADI: KWA PAMOJA TUONGEZE MTAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA WALENGWA: WAMILIKI WA DUKA LA DAWA MUHIMU, LAB, FAMASI, MARTENITY CLINIC NA ZAHANATI. UTAMBULISHO Shirika la Pwamao lilianzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa mwaka 2019 kwa namba za usajili 15NGO/R/0645, Shirika hili lilianzishwa kwa madhumu...

KARIBUNI KWENYE MKUTANO WA WADAU WA AFYA UJE KIJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI YA KUKUZA MITAJI NA MATUMIZI YA TEKNOLOGIA KWEN...
23/01/2024

KARIBUNI KWENYE MKUTANO WA WADAU WA AFYA UJE KIJIFUNZA MAMBO MBALI MBALI YA KUKUZA MITAJI NA MATUMIZI YA TEKNOLOGIA KWENYE KUTUNZA KUMBU KUMBU ZA BIASHARA YAKO , JINSI YA KUSHIRIKI PIGA NO 0759303030 AU BONYEZA LINK KWA KIJISAJIRI, MUNGU ABARIKI KAZI YAKO.

JINA LA MRADI: KWA PAMOJA TUONGEZE MTAJI WA DAWA NA VIFAA TIBA WALENGWA: WAMILIKI WA DUKA LA DAWA MUHIMU, LAB, FAMASI, MARTENITY CLINIC NA ZAHANATI. UTAMBULISHO Shirika la Pwamao lilianzishwa mwaka 2009 na kusajiliwa mwaka 2019 kwa namba za usajili 15NGO/R/0645, Shirika hili lilianzishwa kwa madhumu...

Karibuni sana piga no 0759303030 hii ni kwa watoa huduma za afya tu
14/12/2023

Karibuni sana piga no 0759303030 hii ni kwa watoa huduma za afya tu

Address

PWANI
Mkuranga

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pwamao Pwani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Pwamao Pwani:

Share