Mizpah Health Institute

Mizpah Health Institute School of Nursing
Misungwi, Mwanza
Tanzania

03/10/2025

JE BADO UNASUBIRI KUJISAJILI CHUO MWAKA HUU❓

⏰ Hii ndiyo FURSA YA MWISHO ya Udahili!
�Dirisha la usajili liko wazi !

Wahi sasa usichelewe na kukosa nafasi ya UFADHILI katika mwaka wa 3 wa Masomo katika chuo chetu!

🎓 Kwa nini uchague Mizpah Health Institute?
�✅ Ada nafuu sana:
Jumla Ada pamoja na michango ni 2,090,400 tu kwa mwaka na ina lipwa kwa awamu 4.

✅ Hosteli na godoro BURE
�✅ Nafasi Maalum za Ufadhili ZINAPATIKANA katika mwaka wa 3 - ufadhili ada kamili wa Tsh 1,500,000 kwa wanafunzi wetu wote!

✅ Waalimu bora wenye uzoefu
�✅ Maabara, computer na vitendea kazi vya kutosha!

⚡ Nafasi vimekaribia KUJAA. WAHI SASA

👉 Usichelewe tena. Jisajili SASA na uhakikishe nafasi yako katika taaluma ya afya.

📞 Mkuu wa chuo: +255 762 746 319
Tutumie meseji whatsapp : bonyeza kitufe

Chuo kinapatikana Misungwi, Mwanza.

18/09/2025
10/09/2025
26/08/2025

NAFASI ZA MASOMO NA KUHAMIA ! MWAKA WA MASOMO 2025/2026

✅UFADHILI! UFADHILI!

Karibu Mizpah Health Institute

✅Chuo cha afya kinachojenga wataalamu wa kesho kwa maarifa na moyo wa huruma.

Kwa wanafunzi wanaojiunga mwaka huu wa masomo, tunakuletea nafasi za kipekee:
Ufadhili katika mwaka wa tatu.

✅Pia nafasi za kuhamia moja kwa moja kwa mwaka wa kwanza hadi wa tatu.

Tunapatikana Misungwi Mwanza

Vigezo vya kozi ya diploma ya Uuguzi na Ukunga (Nursing and Midwifery)

Angalau ‘D’ kwenye Physics, Chemisty and Biology

Kwa mawasiliano zaidi,
Namba ya Mkuu wa Chuo
0762 746 319 au
tembelea tovuti yetu mhi.ac.tz

Mizpah Health Institute
Compassionate Care is in Tanzania’s Future

Mizpah health institute tunawatakia heri ya sikukuu ya nane nane pia tunawakumbusha kuwa dirisha la udahili liko wazi wa...
08/08/2025

Mizpah health institute tunawatakia heri ya sikukuu ya nane nane pia tunawakumbusha kuwa dirisha la udahili liko wazi wasiliana nasi 0756583859
COMPASSIONATE CARE IS IN TANZANIAN FUTURE

K**a mzazi au mlezi kumpa mwanao elimu bora ni kipaumbele bila kupinga. K**a Mwanafunzi kuchagua taaluma sahihi na chuo ...
10/06/2025

K**a mzazi au mlezi kumpa mwanao elimu bora ni kipaumbele bila kupinga.

K**a Mwanafunzi kuchagua taaluma sahihi na chuo Bora kina kufungulia fursa nyingi za kukua kitaaluma na ajira pia.

Chuo cha Mizpah Health Institute ni sehemu sahihi ya kupata na kukua katika taaluma ya uuguzi na ukunga Tanzania.

KWANINI UJIUNGE KWETU

✅Chuo kilichosajiliwa REG/HAS/267.

Tunapozungumzia elimu bora;
✅Mazingira ya utulivu na usalama
✅Chuo kina miundombinu stahiki
✅Maabara ya kupata ujuzi wa vitendo,
✅Maabara ya computer kumjengea Mwanafunzi uwezo wa tehama,
✅Maktaba zilizosheni vitabu na research journals,
✅Hosteli ya kisasa BURE zenye ulinzi
✅Godoro BURE
✅Ada ni nafuu Sana na inalipwa kwa awamu nne.
🌍Chuo kinamuandaa muuguzi mwenye uwezo wa kimataifa Kupitia ubia na vyuo vya uuguzi vya Marekani kinachompa Mwanafunzi ujuzi Mpana zaidi!

📒K**a unawaza sehemu sahihi ya taaluma ya Uuguzi Tanzania basi ni sehemu moja tu Mizpah Health Institute.

Wasiliana nasi SASA!

Karibu ujisajiri kwa ajili ya mwaka WA masomo 2025/2026 piga simu hapo chini tukisajiri
22/05/2025

Karibu ujisajiri kwa ajili ya mwaka WA masomo 2025/2026 piga simu hapo chini tukisajiri

Karibu Mizpah health Institute kwa Elimu Bora ya kitaaluma na upate kozi ya compassionate care free
22/05/2025

Karibu Mizpah health Institute kwa Elimu Bora ya kitaaluma na upate kozi ya compassionate care free

04/09/2023
18/06/2023

Address

Misungwi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mizpah Health Institute posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share