Mkude Piggery & Poultry Farm

Mkude Piggery & Poultry Farm Mkude piggery & poultry Farm ni wafugaji Na wauzaji wa NGURUE na KUKU hapa mkoani MOROGORO-TANZANIA🔥

Ufugaji unalipa
21/06/2025

Ufugaji unalipa

21/06/2025
21/06/2025

Natumaini tupo wazima.

Tujikumbushe!

Leo ningependa tujifunze mambo 4 muhimu kabla ya kuanzisha mradi wako wa ngurue.

1.ENEO LA KUANZISHA MRADI WAKO
-Lazima upate eneo na Chagua eneo zuri ambalo halitakuwa ghubza ktk mradi wako.

-Usiweke mradi sehemu yenye upinzani wa Imani ya kidini au kwenye mlipuko wa magonjwa Kila wakati.

*2.MAHITAJI NA MATAKWA YA SOKO*.
-Lazima ujue mradi wako unahitaji kuwa wa namna gani je utazalisha watoto na kuuza au utakuwa unanenepesha na kuuza wakiwa wakubwa wanyama. Pia lazima ujue utauzia wapi (soko) siyo unafuga halafu hujui Kwa kuwapeleka.

3.AINA YA NGURUE UTAKAOFUGA
-Hapa lazima uzingatie mbegu utakayoichagua iendane na mazingira ya soko ulilonalo. Zipo mbegu nyingi k**a Duroc, large white , landrace, Camborough,saddleback,chotara na nyinginezo nyingi.

*4.UPATIKANAJI WA VYAKULA NA BEI ZAKE*
-Lazima ujue hapo kwenye eneo lako vyakula vipo? na bei zake zipoje je zipo chini au zipo juu. Namaanisha vyakula vya makundi yote wadogo,wenye mimba wanaonenepeshwa etc ukifahamu itakurahisishia ktk mfugo wako.

*5.UWEPO WA TAALUMA AU UZOEFU WA UFUGAJI WA NGURUE*
-Kabla hujafuga lazima ujiulize je unautaalamu wowote ktk ufugaji wa ngurue k**a huna je yupo mtaalamu ktk eneo lako ambae anaweza kukusaidia? Usifuge k**a bado huna utaalam au hakuna mtaalamu au mtu mwenye uzoefu wakuweza kukusaidia.

*MUHIMU;*
Aina nyingi za mbegu tulizonazo zimekaa Kwa muda mrefu hivyo zimepoteza vina Saba vyake kutokana na muingiliano wa vizazi mbali mbali.

Tufuge Kwa pamoja Ili tuondokane na umasikini.  unalipa.
13/08/2024

Tufuge Kwa pamoja Ili tuondokane na umasikini.
unalipa.

Ufugaji unalipa.
12/08/2024

Ufugaji unalipa.

Mapambano yanaendelea.  unalipa
12/08/2024

Mapambano yanaendelea.
unalipa

Baba Duroc na mama landlace .. wanapendeza.
24/05/2024

Baba Duroc na mama landlace .. wanapendeza.

💯💯
24/05/2024

💯💯

Wazurii na wanapendeza..
07/05/2024

Wazurii na wanapendeza..

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkude Piggery & Poultry Farm posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share