Direna Health Support

Direna Health Support An NGO promoting health, education, and community well-being through modern solutions and partnerships.

Afya ya mama ndio nguzo ya familia! ❀️ Tunasherehekea kina mama wote wanaojali afya zao ili waendelee kutunza vizuri fam...
10/05/2026

Afya ya mama ndio nguzo ya familia! ❀️ Tunasherehekea kina mama wote wanaojali afya zao ili waendelee kutunza vizuri familia zetu. Kumbuka, mama akiwa na afya njema, nyumba inanawiri.

Safari ya afya ni ya kila mtu bila kujali mahali ulipoanzia. Huyu ni mmoja wa washiriki wetu wa Direna Health Support ku...
05/05/2026

Safari ya afya ni ya kila mtu bila kujali mahali ulipoanzia.
Huyu ni mmoja wa washiriki wetu wa Direna Health Support kupitia ambaye ameonyesha uthubutu, uvumilivu na moyo wa kujituma katika safari yake ya mazoezi.
Tunaamini mabadiliko huanza kwa hatua ndogo. πŸ‘£
”

A powerful discussion with Dr Anna on advancing health, innovation, and community transformation through Direna
03/05/2026

A powerful discussion with Dr Anna on advancing health, innovation, and community transformation through Direna

Ngozi haijengwi na mafuta ya kupaka tu ,  inaanzia tumboni.Chakula unachokula leo, ndicho ngozi yako ya kesho.Badilisha ...
24/01/2026

Ngozi haijengwi na mafuta ya kupaka tu , inaanzia tumboni.
Chakula unachokula leo, ndicho ngozi yako ya kesho.
Badilisha sahani yako, badilisha muonekano wako.

SABABU KUU ZA VIFO VINAVYOZUIKA (KWA MWAKA – DUNIANI)β€’ Shinikizo la damu – Milioni 10.9β€’ Uchafuzi wa hewa (ndani & nje) ...
06/01/2026

SABABU KUU ZA VIFO VINAVYOZUIKA (KWA MWAKA – DUNIANI)
β€’ Shinikizo la damu – Milioni 10.9
β€’ Uchafuzi wa hewa (ndani & nje) – Milioni 8.08
β€’ Uvutaji wa sigara – Milioni 6.18
β€’ Sukari nyingi mwilini (Kisukari) – Milioni 5.29
β€’ Uchafuzi wa hewa wenye chembechembe hatarishi – Milioni 4.72
β€’ Unene kupita kiasi – Milioni 3.71
β€’ Cholesterol nyingi – Milioni 3.65
β€’ Uchafuzi wa hewa ndani ya nyumba – Milioni 3.11
β€’ Lishe yenye chumvi nyingi – Milioni 1.86
β€’ Matumizi ya pombe – Milioni 1.81
β€’ Lishe duni ya matunda, mboga & nafaka kamili
β€’ Kutofanya mazoezi ya mwili
β€’ Ngono isiyo salama
β€’ Ukosefu wa maji safi & usafi wa mazingira
β€’ Udumavu na utapiamlo kwa watoto
πŸ“Š Chanzo: – (2024)

anasimamia maendeleo ya programu na suluhisho za kidijitali zinazosaidia afya.
04/01/2026

anasimamia maendeleo ya programu na suluhisho za kidijitali zinazosaidia afya.


Safari ya kujitolea huzaa mabadiliko ya kweli.Kutoka Volunteer 2025 hadi kuwa sehemu ya Timu ya Direna Health Support, I...
04/01/2026

Safari ya kujitolea huzaa mabadiliko ya kweli.
Kutoka Volunteer 2025 hadi kuwa sehemu ya Timu ya Direna Health Support, Ivan John anaendelea kushiriki kikamilifu katika shughuli na kampeni mbalimbali za taasisi.

πŸ”Ή Sahani Salama 2026
πŸ”Ή Afya ya jamii ni jukumu la pamoja


Kila sahani salama ni hatua kwa afya na maendeleo ya taifa letu! Jiunge na Mpango wa Sahani Salama 2026.
03/01/2026

Kila sahani salama ni hatua kwa afya na maendeleo ya taifa letu! Jiunge na Mpango wa Sahani Salama 2026.

Cardio ni nzuri sana kwa afya, lakini ifanywe kwa mpangilio na busara.
03/01/2026

Cardio ni nzuri sana kwa afya, lakini ifanywe kwa mpangilio na busara.

Lishe Bora kwa Afya na Maendeleo ya TaifaDirena Health Support kwa kushirikiana na Direna Gym tunazinduaKAMPENI YA SAHAN...
02/01/2026

Lishe Bora kwa Afya na Maendeleo ya Taifa
Direna Health Support kwa kushirikiana na Direna Gym tunazindua
KAMPENI YA SAHANI SALAMA – TANZANIA
Kuanzia 1 Januari 2026 hadi Desemba 2026, tutaelimisha, kuhamasisha na kushirikiana na jamii kuhakikisha kila Mtanzania anatambua nguvu ya lishe bora.
Tunawaalika NGOs, Taasisi Binafsi, Wataalamu wa Afya na Jamii kwa ujumla kushiriki nasi.

02/01/2026

balozi wa sahani salama 2026

Address

Mbinga

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:30
Tuesday 08:00 - 20:30
Wednesday 08:00 - 20:30
Thursday 08:00 - 20:30
Friday 08:00 - 20:30
Saturday 09:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Direna Health Support posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share