11/05/2025
ποΈ Karibu Kutazama Ibada ya Jumapili β Kijitonyama Lutheran Church
Tunapenda kukualika kutazama ibada ya Jumapili ya leo iliyorushwa mubashara kutoka Kanisa la Kilutheri Kijitonyama, kupitia channel yetu ya YouTube β Neno Kuu.
π Ibada ya Jumapili
π Kijitonyama Lutheran Church
πΊ Tazama hapa: Ibada ya Jumapili
Ujumbe wa leo ni wa kuinua na kuimarisha imani yako β usikose!
π Tafadhali like, comment, na subscribe ili uendelee kupokea mafundisho ya kiroho kila wiki.
https://www.youtube.com/watch?v=LHXCLwiBxS0