KKKT Usharika wa Lwangwa

KKKT Usharika wa Lwangwa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KKKT Usharika wa Lwangwa, Community Organization, busokelo 2, Mbeya.

19/04/2026

Katika Ibada
Mch Mchungaji Mariam Kyomo

19/04/2026

Leo katika Ibada
Mchungaji Mariam Kyomo

πŸ“– Semina ya Neno la MunguSomo: ZIJUE NJIA ZA KUITUNZA IMANI YAKO KATIKA KIPINDI CHA KUPANDIKIZWA IMANI POTOFUKatika zama...
18/04/2026

πŸ“– Semina ya Neno la Mungu
Somo: ZIJUE NJIA ZA KUITUNZA IMANI YAKO KATIKA KIPINDI CHA KUPANDIKIZWA IMANI POTOFU

Katika zama hizi, kumekua na changamoto nyingi. K**a vile akili bandia (AI) imepenya katika jamii, vivyo hivyo imani bandia imeweza kuingia na kuwapotosha wakristo wenzetu.

Isaya 30:10 inatufundisha kuwa Shetani ametumia milango ya maendeleo ya kisayansi na kijamii kupandikiza imani potofu.

Moja ya maeneo ambayo Shetani amefanikiwa kuathiri imani za wakristo wengi ni katika suala la uchumi.

πŸ“Œ Ayubu 1:1-3 pamoja na Mwanzo 13:1-3 zinatufundisha kuwa Mungu ametubariki kwa baraka nyingi. Lakini wakristo wengi hatutaki kumtolea Mungu kwa moyo wa kupenda.

Musa alimwambia Farao: β€œTutakwenda na vitu vyetu vyote, maana twataka kumtolea Mungu sadaka, hatujui Mungu atataki kipi kati ya hivyo tulivyo navyo.”

πŸ‘‰ Ni haki yetu, wana wa Mungu, kubarikiwa sana na kutofautishwa na wale wasio wa Mungu.

πŸ“… Semina Itaendelea Kesho
Karibu sana Lwangwa KKKT.

Semina inaendelea vizuri sana...Mungu anatufundisha mambo mengi sana kupitia mtumishi wake Mchungaji Mariam Kyomo... Kar...
15/04/2026

Semina inaendelea vizuri sana...

Mungu anatufundisha mambo mengi sana kupitia mtumishi wake Mchungaji Mariam Kyomo...

Karibu upate maarifa muhimu sana kuhusu ...

Leo ni siku ya 3 usipange kukosa...

Kesho ndio muhimu zaidi maana ni siku ya

Unakwama wapi mpendwa...

Fika bila kukosa ujionee mambo yalivyo mazuri...

Ikupa Zambia Samson Abel Paradise Lutheran Choir Masta Tz Ikwisa Mwakatobe

Ni kuanzia leo hiiKaribuni! Masta Tz Samson Abel Felix Edwin Ikupa Zambia
13/04/2026

Ni kuanzia leo hii

Karibuni! Masta Tz Samson Abel Felix Edwin Ikupa Zambia

KARIBU USHIRIKI BARAKA ZA KUMJENGEA BWANA NYUMBA YA IBADAKwa mawasiliano zaidi +255 754 777 383
18/02/2026

KARIBU USHIRIKI BARAKA ZA KUMJENGEA BWANA NYUMBA YA IBADA
Kwa mawasiliano zaidi +255 754 777 383

Karibuni katika ibada hii maalum...Mungu akubariki!
30/01/2025

Karibuni katika ibada hii maalum...

Mungu akubariki!

K**a kuna kijana kutoka usharika wa Lwangwa atatamani kwenda  Tamasha la Twenzetu kwa Yesu.Aandike ujumbe kwenye comment...
28/06/2024

K**a kuna kijana kutoka usharika wa Lwangwa atatamani kwenda Tamasha la Twenzetu kwa Yesu.
Aandike ujumbe kwenye comment.

11/03/2024
https://youtu.be/nTQp-KxWGRY
11/03/2024

https://youtu.be/nTQp-KxWGRY

Nyimbo iliyosimamisha Wachungaji kwenye Tukio la kumsimika Mchungaji Mwakalundwa Lwangwa....Tukio la Kumsimika MchungajiMwakalundwa usharika wa Lwangwa

Address

Busokelo 2
Mbeya
53529

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT Usharika wa Lwangwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to KKKT Usharika wa Lwangwa:

Share