Kinywa Salama Initiative

Directions Website

Kinywa Salama Initiative Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kinywa Salama Initiative, Non-Governmental Organization (NGO), Mbeya.

19/09/2026

WE’RE FINALLY ON THE APP STORE! 🍎🦷

The wait is over! Kinywa Salama is now available on both iPhone and Android.
Your trusted oral health companion is now in your pocket — find dentists and clinics, book appointments, learn about oral health, get guidance from Daktari Kinywa, and explore the Tanzanian oral health ecosystem all in one place.

DOWNLOAD KINWA SALAMA NOW
🍎 iPhone / App Store: https://apps.apple.com/tz/app/kinywa-salama/id6810288158
🤖 Android / Play Store:
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kinywasalama.app

Download. Explore. Share with someone who needs it.

We are thrilled to welcome Smiles Dental Clinic as our newest official Partner Clinic on the Kinywa Salama App! You can ...
12/09/2026

We are thrilled to welcome Smiles Dental Clinic as our newest official Partner Clinic on the Kinywa Salama App! You can now seamlessly book appointments and access top-tier oral care with their expert team directly through our platform.

Open your Kinywa Salama App today to explore their services and schedule your next visit!

Happy father's day to all fathers..Kheri ya siku ya wababa
21/06/2026

Happy father's day to all fathers..
Kheri ya siku ya wababa

Kujitolea ni moyo wa maendeleo! Tunajivunia kusema kuwa Kinywa Salama Initiative ilishiriki kikamilifu katika maadhimish...
20/04/2026

Kujitolea ni moyo wa maendeleo!

Tunajivunia kusema kuwa Kinywa Salama Initiative ilishiriki kikamilifu katika maadhimisho ya 'Good Deeds Day' yaliyofanyika katika ukumbi wa Don Bosco.

Tunaamini katika nguvu ya pamoja ya kufanya matendo mema kwa ajili ya jamii yetu. Asante kwa wote waliofika na kuunga mkono juhudi hizi!

https://www.instagram.com/p/DXUeB7qDHZ9/?igsh=MXBobGlwcXN4MjcwbA==

Katika kuendeleza dhamira ya kuboresha afya ya jamii, jana tulipata fursa ya kushirikiana na Taasisi ya Nithamini Founda...
12/04/2026

Katika kuendeleza dhamira ya kuboresha afya ya jamii, jana tulipata fursa ya kushirikiana na Taasisi ya Nithamini Foundation katika zoezi la utoaji wa huduma za afya ya kinywa na meno lililofanyika katika Kituo cha Mt. Felix, Ilula-Iringa.

Kupitia ushirikiano huu, tulitoa elimu ya afya ya kinywa, uchunguzi pamoja na huduma mbalimbali za msingi, tukilenga kuongeza uelewa na kuhamasisha jamii juu ya umuhimu wa kutunza afya ya meno na kinywa kwa ujumla.

Tunaamini kuwa afya bora ya kinywa ni msingi muhimu wa ustawi wa afya kwa ujumla, na tutaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kufikisha huduma hizi karibu zaidi na jamii. Tunajivunia kuwa sehemu ya mchango chanya unaogusa maisha ya watu moja kwa moja.


https://www.instagram.com/p/DXBu38vjC0F/?img_index=9&igsh=MThzNGQ2Y2g5OGIzdw==

Hatukutembea tu…tulitembea kwa lengo.Katika kuadhimisha siku ya afya ya kinywa na Meno duniani tarehe 20 March 2026, tul...
30/03/2026

Hatukutembea tu…tulitembea kwa lengo.

Katika kuadhimisha siku ya afya ya kinywa na Meno duniani tarehe 20 March 2026, tuliungana k**a jamii kuhamasisha umuhimu wa afya ya kinywa na meno, kwa sababu tabasamu linaanza na afya njema.

Kupitia matembezi haya, tumetoa ujumbe mmoja mkubwa:
Afya ya kinywa si chaguo, ni lazima!

Ni wajibu wetu sote kuhakikisha tunatunza meno na kinywa kwa maisha bora na yenye kujiamini.
Pamoja tunaweza kuleta mabadiliko,hatua Moja tabasamu moja kwa wakati.



"Kinywa chenye furaha ,ni maisha yenye furaha"

Today we celebrate the strength, resilience, and incredible impact of women everywhere.On this International Women's Day...
08/03/2026

Today we celebrate the strength, resilience, and incredible impact of women everywhere.

On this International Women's Day, we honor the women who lead, inspire, and shape healthier futures in our communities and beyond.

Together, let’s continue empowering women, supporting their voices, and building a world where every woman can thrive.

Happy International Women’s Day!.

Address

Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kinywa Salama Initiative posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share