Tumaini Katika Kristo Community based organization

Tumaini Katika Kristo Community based organization +255758229526
TUMAINI, UADILIFU NA MALEZI KWA WATOTO YATIMA

11/11/2025

TANGAZO
==========
*RAISING AND AWAKENING ORGANIZATION (RAO)*
*TAARIFA KWA UMMA*

Raising and Awakening Organization (RAO), imesajiliwa chini ya Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24 ya mwaka 2002 (Usajili Na. 00NGO/R/5083), inapenda kuwataarifu umma, makanisa, na wadau wote kuwa inaendesha mradi maalum unaoitwa *Raising Orphanage Center* – unaolenga kusaidia *watoto yatima, wajane, watu wenye ulemavu, wagonjwa, na watoto wanaoishi katika mazingira magumu*.

Kwa sasa, mradi huu unatekelezwa katika mikoa ya *Dar es Salaam (Goba Kibululu)* na *Mbeya (Simambwe )*, huku kukiwa na mpango wa kuupanua katika maeneo mengine ya Tanzania Bara.

Tunaikaribisha jamii, taasisi, na washirika wote wenye mioyo ya huruma kushiriki nasi k**a *wawezeshaji, wahisani au washirika* katika dhamira hii ya kurejesha tumaini na kutoa msaada kwa makundi yaliyo katika uhitaji mkubwa.

*Tujenge jamii yenye huruma, upendo na ustahimilivu – kwa pamoja.*

*Makao Makuu:*
Goba Kibululu, Ubungo – Dar es Salaam
*Mawasiliano:*
Simu: +255 758 229529 / +255 683 406193
Barua pepe: [email protected] / [email protected]
*Kurasa za Facebook:*
- Raising Orphanage Center Rao – Goba Kibululu, Dar es Salaam
- Raising Orphanage Center – Silmambwe Mbeya Tanzania

*Instagram:*
- raising_watoto_yatima_mbeya
- raising_kituo_cha_watoto_yatima_goba_kibululu_dsm tz

*Kauli Mbiu:*
*"Kwa jamii yenye ustahimilivu – Tunamsha, Tunainua.

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumaini Katika Kristo Community based organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share