Friends of Mbeya

Friends of Mbeya Je wewe ni mzaliwa wa Mbeya? Umesoma Mbeya? Umefanya Kazi Mbeya? K**a jibu ni ndio basi karibu kwenye Group maalumu la Friends of Mbeya.

Kazi kubwa ya Wajumbe imemalizika kinachofuata ni safari ya 2025 kwa kishindo. Tukutane Jimboni mbeya kwa Dr. Tulia💫mbun...
20/01/2025

Kazi kubwa ya Wajumbe imemalizika kinachofuata ni safari ya 2025 kwa kishindo. Tukutane Jimboni mbeya kwa Dr. Tulia💫mbunge wa wabunge wote Duniani.
#

Asante Wajumbe wa Mkutano Mkuu 2025 mmejua kututendea Haki wapiga KURA na Wanachama hai wa CCM. Pongezi kwa Mh. Mwenyeki...
20/01/2025

Asante Wajumbe wa Mkutano Mkuu 2025 mmejua kututendea Haki wapiga KURA na Wanachama hai wa CCM. Pongezi kwa Mh. Mwenyekiti bara na Makamu Zanzibar .hmwinyi pamoja na Mgombea mwenza na Makamu mwenyekiti wa Chama ni matumaini yangu Jahazi letu na jumuiya zote zipo mikono salama na safari ya 2025 chini ya mafiga haya manne imeanza rasmi. ""May God be the Leader in this Journey of 2025 to 2030🇹🇿

Inapofika asubuhi mara zote tuna mshukuru MUNGU kwa uhai na Pumzi. Tukutane DODOMA kuijenga Nchii.
17/01/2025

Inapofika asubuhi mara zote tuna mshukuru MUNGU kwa uhai na Pumzi. Tukutane DODOMA kuijenga Nchii.

Ni Wasaa mzuri kukutana na Nguli wa Siasa safi kupitia Chama Tawala  Mzee wangu  nikichota Hekima za Siasa.    ✍️ in pol...
21/12/2024

Ni Wasaa mzuri kukutana na Nguli wa Siasa safi kupitia Chama Tawala Mzee wangu nikichota Hekima za Siasa.

✍️ in politics

Chama cha Mapinduzi kipo Imara na Vijana tupo imara k**a Chuma. Asante Mbeya Jiji kwa ushindi wa kishindo katika Uchaguz...
19/12/2024

Chama cha Mapinduzi kipo Imara na Vijana tupo imara k**a Chuma. Asante Mbeya Jiji kwa ushindi wa kishindo katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hususani kata yangu ya Sinde kwa kumuamini na kumpa nafasi nyingine Mwenyekiti wangu Michael Mwakasita. Kwa Umoja na tuijenge kata yetu ya Sinde Kidijitali kwa maendeleo ya Wana Sinde especialy mtaa wa Kagwina.

Mpira ndio ulivyo no Matter what, tumeamua kuipenda   wenyewe na kila mtu ashike mambo yake. Sisi yetu yakienda KOMBO tu...
08/12/2024

Mpira ndio ulivyo no Matter what, tumeamua kuipenda wenyewe na kila mtu ashike mambo yake. Sisi yetu yakienda KOMBO tunaenda nayo tu afu tuna mshukuru MUNGU kwa yote. Wanangu na tuendelee kuwa wavumilivu na hakuna kuhama club🫡

Goshen and Triple A Security Agency  inakuletea Goshen Children's SERENGETI BUSH Party tarehe 02Dec2024
28/11/2024

Goshen and Triple A Security Agency inakuletea Goshen Children's SERENGETI BUSH Party tarehe 02Dec2024

Nimetimiza Haki yangu kikatiba✍🏼✅Nimewapigia KURA Viongozi wangu tayari. Wewe jee ushaenda kupiga KURA????
27/11/2024

Nimetimiza Haki yangu kikatiba✍🏼✅Nimewapigia KURA Viongozi wangu tayari. Wewe jee ushaenda kupiga KURA????

Tunatamba na Gold Generation Colour  huku tukiendelea kuomba MUNGU amfungue  na tuweze kuibuka na ushindi wa kishindo   ...
25/11/2024

Tunatamba na Gold Generation Colour huku tukiendelea kuomba MUNGU amfungue na tuweze kuibuka na ushindi wa kishindo club yenye furaha muda wote🇹🇿✍️🤣

Pongezi sana Mh rais
24/11/2024

Pongezi sana Mh rais

Fahari ya 🇹🇿 ni ushindi wa kishindo , Furaha ya Mh Rais   ni kuona vijana wanafanya vyema kupitia Hamasa yake✍️🤸🤣 na sis...
20/11/2024

Fahari ya 🇹🇿 ni ushindi wa kishindo , Furaha ya Mh Rais ni kuona vijana wanafanya vyema kupitia Hamasa yake✍️🤸🤣 na sisi furaha yetu ni kuona vijana wetu na wengineo wanafanya vyedi katika majukumu ya kulitumikia Taifa la Tanzania. Tukutane kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tukakipe ushindi mnono. Tusiache kwenda kupiga kura Nov 27💪🏼✍️🤸 ushindi wa kishindo

Wanangu tusiache kwenda kupiga kura na kufanya machaguo sahihi na siyo kutotumia haki yako kikatiba na kuanza kuilaumu s...
14/11/2024

Wanangu tusiache kwenda kupiga kura na kufanya machaguo sahihi na siyo kutotumia haki yako kikatiba na kuanza kuilaumu serikali k**a Mimi ninavyo ilaumu na kwa issue ya kiwanja changu tangu mwaka 2000 mpaka Leo kupata Hati ni shida na malipo yote nimelipia na NIMEMALIZA📷🤸🤣🤸 kwako mbunge wa Jimbo langu pia Mh waziri wa ardhi hii yako pia sisi vijana Bado tuna Imani kubwa na Mh. Rais wetu hivyo tunaomba msitukatishe tamaa vijana tafadhali na badala yake mtusaidie🇹🇿✍️

Address

Mbeya
255

Telephone

+255623270123

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Friends of Mbeya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Friends of Mbeya:

Share