Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO:

Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO: Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO:, Non-Governmental Organization (NGO), Mbeya.

Is a Non-governmental Organization; It was officially registered on 19th August, 2016 under Section
12(2) of Act No. 24 of 2002 with Registration No. 00NGO/R1/00758.

Ushiriki na Ushirikishwaji wa vijana ni msingi wa maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla,
29/04/2026

Ushiriki na Ushirikishwaji wa vijana ni msingi wa maendeleo kwa jamii na taifa kwa ujumla,

25/04/2026

Gawe 2026

During the Education Week celebrations (GAWE 2026) held at Chiwanda Primary School grounds in Songwe Region, Momba Distr...
25/04/2026

During the Education Week celebrations (GAWE 2026) held at Chiwanda Primary School grounds in Songwe Region, Momba District, Nkangamo Ward, various forms of education were provided, including awareness on violence against children, child care and the rights of every child to access quality education.

Wanafunzi toka chuo kikuu cha Catholic Mbeya (CUOM) kitivo cha Maendeleo ya jamii wakiwa katika mafunzo kwa vitendo (Fie...
20/03/2026

Wanafunzi toka chuo kikuu cha Catholic Mbeya (CUOM) kitivo cha Maendeleo ya jamii wakiwa katika mafunzo kwa vitendo (Field) . Pichani ni wakati na baada ya kushiriki kwenye kipindi cha Redio Rock Fm. Huku mada kuu iliyojadiliwa ni Umuhimu wa mwanamke katika malezi ya familia.

01/12/2025
Siku 16 za Kupinga Ukatili wa kijinsia ni zaidi ya kampeni-Nimabadiliko ya Fikra,Vitendo na Mfumo. SOHIPO-MBEYA inatoa m...
01/12/2025

Siku 16 za Kupinga Ukatili wa kijinsia ni zaidi ya kampeni-Nimabadiliko ya Fikra,Vitendo na Mfumo. SOHIPO-MBEYA inatoa msaada wa kisheria kwa wanaopitia Ukatili. Usinyamaze toa taarifa.

SOHIPO-MBEYA tupo katika maadhimisho ya wiki ya Vijana kitaifa yanayofanyika hapa jijini Mbeya katika uwanja wa soko la ...
10/10/2025

SOHIPO-MBEYA tupo katika maadhimisho ya wiki ya Vijana kitaifa yanayofanyika hapa jijini Mbeya katika uwanja wa soko la Uhindini (Elimu na Msaada wakisheria unapatikana buree kabisa, Usipange kukosa.

*LSF yafanya ziara ya kiufundi (Technical Visit) katika utekelezaji wa Mradi wa *Sauti ya Mwanamke ndani ya Halmashauri ...
23/09/2025

*LSF yafanya ziara ya kiufundi (Technical Visit) katika utekelezaji wa Mradi wa *Sauti ya Mwanamke ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mbeya.

Ziara hii imeongozwa na Mratibu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Bw. Laiki Ndagile ambapo majadiliano ya kina yamefanyika kwa kugusia maeneo muhimu ya utendaji wa shirika na utekelezaji wa mradi, yakiwemo:
1. Uboreshaji wa branding
2. Utaratibu wa rufaa kwa wateja wa msaada wa kisheria
3. Mpango na utekelezaji wa programu
4. Muundo wa shirika (organizational structure
)
5. Uendeshaji wa shirika kwa ujumla
6. Ushirikiano na kamati za MTAKUWWA

Mradi wa *Sauti ya Mwanamke* unatekelezwa na Shirika la Southern Highlands Paralegal Organization (SOHIPO) kwa kushirikiana na *Legal Services Facility (LSF)*, kwa ufadhili wa *Enabel* na *Umoja wa Ulaya (EU).*

*Dhamira kuu:* Kukuza ushiriki wa wanawake katika upatikanaji wa haki, mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, usawa wa kijinsia na utawala bora kupitia msaada wa kisheria na uwezeshaji wa kijamii.

SOHIPO-MBEYA imeshiriki katika kikao cha maandalizi kuelekea siku ya Amani Duniani ambayo kwa Wilaya ya Mbeya yatafanyik...
19/09/2025

SOHIPO-MBEYA imeshiriki katika kikao cha maandalizi kuelekea siku ya Amani Duniani ambayo kwa Wilaya ya Mbeya yatafanyika tarehe kesho tarehe 20th Sept 2025.

LSF yafanya Tathimini na Ufatiliaji kupitia Mradi wa SAUTI YA MWANAMKE katika Halmashauri ya jiji la Mbeya,Mradi unaotek...
16/09/2025

LSF yafanya Tathimini na Ufatiliaji kupitia Mradi wa SAUTI YA MWANAMKE katika Halmashauri ya jiji la Mbeya,Mradi unaotekelezwa na Shirika la msaada wakisheria SOHIPO-MBEYA kwa Ufadhili wa LSF,

Address

Mbeya

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:08 - 14:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO: posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Southern Highlands Paralegal Organization-SOHIPO::

Share