Codiso Tanzania

Codiso Tanzania Welcome to COMPASSIONATE DIACONIC SERVICES ORGANISATION.

https://youtu.be/pjbRYK2xcQ4
07/08/2025

https://youtu.be/pjbRYK2xcQ4

Tafadhali endelea kuonesha matendo ya huruma kwa wengine, pia usisahau ku subscribe Youtube channel hii.

Wanafunzi wa Chuo cha ufundi stadi Kyela Moravian VTC wakiwa katika Ukumbi wa Chuo hiki, wakisubili kuanza kwa semina ya...
15/07/2025

Wanafunzi wa Chuo cha ufundi stadi Kyela Moravian VTC wakiwa katika Ukumbi wa Chuo hiki, wakisubili kuanza kwa semina ya kuzuia mambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi.

Semina hii imeandaliwa na Idara ya Udiakonia ya Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi kwa ufadhili wa Shirika la Mission 21.

Address

Jacaranda
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Codiso Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Codiso Tanzania:

Share