twfou_ndation

twfou_ndation TWF inashughulika na
1. Michezo na burudani
2. Utalii
3. Kulea makundi maalumu

Taasisi ya TWF iliandaa na kutekeleza mchezo wa mbio za pole (jogging) tarehe 15.10.2022 Ambapo vilabu vyote vya jogging...
16/10/2022

Taasisi ya TWF iliandaa na kutekeleza mchezo wa mbio za pole (jogging) tarehe 15.10.2022
Ambapo vilabu vyote vya jogging toka wilaya ya Mbeya vilialikwa.
Mbio za pole zilimaliza Km 5.7 na baadae watu walifanya mazoezi ya viungo kabla ya kutawanyika.

Wakazi wa Mbeya ni wakati wenu huu mnaalikwa kushiriki katika mchezo wa mbio za pole tarehe 15/10/2022. Mwambie na mwenz...
13/10/2022

Wakazi wa Mbeya ni wakati wenu huu mnaalikwa kushiriki katika mchezo wa mbio za pole tarehe 15/10/2022. Mwambie na mwenzio si yakukosa... itakua ni wakati mzuri sana wa jamii kukutana pamoja na kuweza kuitambua vizuri TWENDE WOTE FOUNDATION 🔥🔥

Wafuasi wa Twende Wote Foundation tukiongozwa na Katibu Mkuu Dada Elizabeth Kaponela, tulishiriki mazishi ya baba mzazi ...
08/10/2022

Wafuasi wa Twende Wote Foundation tukiongozwa na Katibu Mkuu Dada Elizabeth Kaponela, tulishiriki mazishi ya baba mzazi wa Mfuasi mwenzetu,, Severina Mwakateba.
Mazishi hayo yalifanyika Vwawa Mbozi.
twfou_ndation

Hizi ni baadhi ya picha za matukio ya tarehe 01/10/2022 ndani ya Hospitali ya rufaa mkoa wa Mbeya
06/10/2022

Hizi ni baadhi ya picha za matukio ya tarehe 01/10/2022 ndani ya Hospitali ya rufaa mkoa wa Mbeya

06/10/2022

Tarehe 1.10.2022 TWF ilijitambulisha kwa jamii kwamba ipo na kuelezea kwa ufupi malengo yake kwamba ni kuifanya jamii kuwa ya watu wanaofurahia kuishi na kuwakumbusha watu kwamba wana wajibu wa kuwahudumia wengine,
Ilifanya ziara Hospital ya Rufaa ya Kanda, Mbeya. Ambapo ilifanya usafi hospitalini Rufaa, ofisi kuu iliyoko mjini Mbeya, na kitengo cha wazazi, Meta.
Baadae saa 5 asubuhi Twf iligawa zawadi chache kwa wagonjwa zaidi ya 150 waliolazwa wadi za wanawake na watoto katika maeneo hayo. Na hatimaye kutoa mapipa 6 ya kuhifadhia taka taka kwenye wadi za hospitali hizo.

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when twfou_ndation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to twfou_ndation:

Share