25/05/2026
Kupata msaada wa kisheria ni hatua muhimu katika kulinda haki na kuleta amani kwenye jamii. Kupitia huduma za msaada wa kisheria, mgogoro wa mirathi na urithi uliweza kupatiwa ufumbuzi kwa njia ya haki, maelewano, na ushirikishwaji wa familia husika.
Kupitia HAKI YANGU AI Chatbot, wananchi wanaendelea kupata elimu ya kisheria, taarifa muhimu za haki zao, pamoja na mwongozo wa awali wa kisheria kwa urahisi zaidi kupitia teknolojia.