Mlimani Youth Empowerment and Sports Academy Organization

Mlimani Youth Empowerment and Sports Academy Organization Youth empowerment

HAPPY BIRTHDAY JUNIOR PETER OMARY 💫 🎊🎈🎂🎉🎁 Tunakutakia maisha mema na masomo mema yenye baraka tele kijana wetu. 🇹🇿 🇺🇸   ...
03/03/2026

HAPPY BIRTHDAY JUNIOR PETER OMARY 💫 🎊🎈🎂🎉🎁

Tunakutakia maisha mema na masomo mema yenye baraka tele kijana wetu. 🇹🇿 🇺🇸



Jezi za mazoezi za timu zetu za vijana wadogo kuanzia miaka 5 mpaka miaka 15.
17/03/2025

Jezi za mazoezi za timu zetu za vijana wadogo kuanzia miaka 5 mpaka miaka 15.

10/03/2025

❤️
10/03/2025

❤️

Mlimani Academy ya kesho hii hapa 🙏
09/03/2025

Mlimani Academy ya kesho hii hapa 🙏

TUZO Kwa niaba uongozi wa taasisi yetu ya MYESAO tunashukuru kupokea hati ya pongezi ya kijana wetu Elizabeth Yohana Nko...
09/03/2025

TUZO

Kwa niaba uongozi wa taasisi yetu ya MYESAO tunashukuru kupokea hati ya pongezi ya kijana wetu Elizabeth Yohana Nkombe ambayo imetolewa na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Singida kwa kutambua mchango wa kijana wetu Eliza wa kuonyesha kuthubutu katika utekelezaji wa majukumu yake.

Tuzo hii imetolewa mkoani Singida katika kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Wanawake duniani.

Tunaushukuru uongozi mzima wa Mkoa wa Singida kuanzia ofisi ya mkuu wa mkoa,ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Manyoni,ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Manyoni,ofisi ya Maendeleo ya jamii,ofisi ya Utamaduni na Michezo na wengine wengi,tuzo hii ni yetu sote na tuendelee kushirikiana.

Pia tunaishukuru timu ya kwa kuendelea kumlea kijana wetu katika maadili mema siku zote.

Asante
Eng Aidan Mlalo
Mkurugenzi Mtendaji
MYESAO.

Mungu ni wetu sote,tutafika kwa pamoja 🙏
06/03/2025

Mungu ni wetu sote,tutafika kwa pamoja 🙏

MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARI1.DEOGRATİUS CHRİSANTO Ni mshambuliaji wetu ambaye katika mechi 4 za mwezi Februari amefu...
06/03/2025

MCHEZAJI BORA WA MWEZI FEBRUARI
1.DEOGRATİUS CHRİSANTO
Ni mshambuliaji wetu ambaye katika mechi 4 za mwezi Februari amefunga magoli 3 na assist 2 jumla amehusika kwenye magoli 5 katika mechi 4.

2.ABDALLAH MBAGO
Ni kiungo mkabaji kutoka dimba la chini amekuwa na Kiwango bora sana katika mwezi huu na amefunga goli 1 na amehusika katika cleansheet 1 na ameisaidia timu kuipa uzani sahihi katika kuzuia na kushambulia.

3.EZEKIEL WAWA
Ni kiungo mshambuliaji ambaye katika mechi zote 4 za mwezi wa Februari amefunga mechi zote na kutoa pasi 2 za magoli,amehusika kuchangia magoli 6 ndani ya mechi 4.

PIGA KURA YAKO
Jinsi ya kupiga kura yako tumia njia mojawapo;
1.Tuma ujumbe mfupi sms kwenda namba 0762430901
2.Polls mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii
3.Comment jina la mchezaji

AbdulAziz Thabiti 🔥Akapita akaenda zake!!
05/03/2025

AbdulAziz Thabiti 🔥

Akapita akaenda zake!!

Vijana wakiwa kwenye majukumu.
05/03/2025

Vijana wakiwa kwenye majukumu.


ASANTE MDAU WETU KWA SUPPORT YAKO HIIKwa Tsh.20,000/= tu karibu ujipatie jezi yako kali kutoka kwa vijana wa Mlimani Aca...
05/03/2025

ASANTE MDAU WETU KWA SUPPORT YAKO HII

Kwa Tsh.20,000/= tu karibu ujipatie jezi yako kali kutoka kwa vijana wa Mlimani Academy.

Unaweza kufanya malipo kupitia namba hii chini na ukiwa Manyoni mjini utaletewa jezi ulipo,Ulizia size uitakayo na ulipie.

YAS
0776164894
Cosmas Luambano.


🔥🔥Jezi mpya za Mlimani Academy 🔥🔥Jipatie jezi yako kali ya Mlimani Academy kwa bei nafuu kabisa ya Tsh.20,000/= Jezi zin...
05/03/2025

🔥🔥Jezi mpya za Mlimani Academy 🔥🔥
Jipatie jezi yako kali ya Mlimani Academy kwa bei nafuu kabisa ya Tsh.20,000/=

Jezi zinapatikana ofisi ya MYESAO jirani na shule ya msingi Manyoni.

Weka oda yako kwa namba zifuatazo;
0762430901
Aidan Mlalo

Address

Manyoni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mlimani Youth Empowerment and Sports Academy Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mlimani Youth Empowerment and Sports Academy Organization:

Share