Mafinga Deaf Women Development Organization

Mafinga Deaf Women Development Organization MWAVIMA ni Asasi ya kiraia, kimaendeleo, kiutawala na kuwawezesha Wanawake Viziwi kujikomboa kiuchi

MWAVIMA ni Asasi ya kiraia ya maendeleo iliyopo kiutawala na uendeshaji kimaendeleo katika mji wa MAFINGA, katika wilaya ya Mufindi, mkoa wa Iringa. MWAVIMA inafanyakazi ya kujiwezesha na kuwawezesha shughuli za kujisaidia kwa wanachama walio jinsia ya k**e Viziwi na walio ni watu wenye ulemavu katika mkoa wa Iringa ambao unajumuisha wilaya za Mafinga-Mufindi,Iringa mjini,Iringa Vijijini na Kilolo

. MWAVIMA kisheria inatambulika k**a Asasi ya kijamii ngazi ya wilaya iliyoanzishwa na kusajiliwa tarehe 27 Agositi 2014 kwa mujibu wa sheria inayosimamia Asasi siziso za kiserikali.

Address

P. O. BOX 209
Mafinga
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mafinga Deaf Women Development Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mafinga Deaf Women Development Organization:

Share