Beyond Four Walls

Beyond Four Walls We empower the community to overcome vulnerability, dependency syndrome and poverty through participatory development.

We provide training workshops, counseling, entrepreneurship education, and lifelong learning.

30/05/2026

Uzinduzi wa kipindi cha maombi ya watoto na vijana

27/05/2026

Karibu maombi kabla ya kulala saa 3 usiku

21/05/2026

Je, Mungu anajali maisha ya kijana Na 4?
Kipindi cha nne: Kwa nini inakuwa vigumu leo kupata mke/mume sahihi? Mungu hajaahidi popote kwamba atakupatia mchumba mwema bali mume au mke mwema. Uchumba ni mchakato tu kuelekea kwenye ndoa.

For English and Swahili text, please visit www.lawimshana.com

20/05/2026

Tumepokea msaada kwa ajili ya wasiojiweza

18/05/2026

Wataalam wa Korogwe mji wametupa elimu muhimu kuhusu ardhi

TUMEELIMIKA KUHUSU UMILIKI NA MATUMIZI YA ARDHI ILI KUEPUKA MIGOGORO ISIYO YA LAZIMATunamshukuru sana Mkurugenzi wa Halm...
18/05/2026

TUMEELIMIKA KUHUSU UMILIKI NA MATUMIZI YA ARDHI ILI KUEPUKA MIGOGORO ISIYO YA LAZIMA

Tunamshukuru sana Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Korogwe kwa kutupatia wataalamu wa ardhi ambao walitoa elimu na kujibu kero na maswali mbalimbali kuhusu ardhi katika ukumbi wa TLMC Manundukati jana. Tulinufaika kwa kutambua mgawanyo wa majukumu idara yao (vitengo vyao), mchakato wa kununua na kuuza viwanja, kuepuka madeni katika kununua viwanja nk.

Mara nyingi tunailaumu idara ya ardhi na mipango miji kwa makosa yetu wenyewe ya kutafuta njia za mkato na kutokuwa tayari kupata elimu.

Nashukuru pia majirani ambao walishiriki bila kuangalia tofauti zetu za kidini na kimadhehebu.

Mkutano huu uliandaliwa na NGO yetu ya Beyond Four Walls ambayo dhima yake ni kujengea uwezo jamii ishinde, uhatarishi, umaskini na utegemezi kwa kutumia mbinu shirikishi za maendeleo.

For English text, please visit www.lawimshana.com

15/05/2026

Karibu upate mafunzo maalum bure Jumapili tarehe 17/5/2026 saa 9.30 jioni Manundu Korogwe

Mafunzo ya kujengea uwezo jamii - Pangani
28/04/2026

Mafunzo ya kujengea uwezo jamii - Pangani

Check out Dr Lawi’s video.

24/04/2026

Karibu semina muhimu sana ya wachungaji na wenzi wao jijini Dar es salaam

21/04/2026

Mungu anajali maisha ya kijana? (session 1)

Address

554
Korogwe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Beyond Four Walls posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Beyond Four Walls:

Share