Cbhedo Tanzania

Call Directions Contact the organization

Cbhedo Tanzania Youth Empowerment | Mental Health | Environment | Community Development

02/09/2026

MINDSHIELD TRAINING & INNOVATION CENTRE RASMI YAFUNGULIWA! πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

🌱 PROTECTING MINDS BEFORE CRISIS BEGINS

Kwa furaha na heshima kubwa, CBHEDO tunatangaza rasmi kufunguliwa kwa MindShield Training & Innovation Centre (MSTIC) β€” kituo kilichoanzishwa kwa dhamira ya kulinda afya ya akili, kujenga familia imara, kuwawezesha vijana na kuchochea mabadiliko chanya katika jamii.

πŸš€ MindShield si kituo tu β€” ni mwanzo wa mabadiliko ya kizazi.

Tunaamini kuwa tukilinda akili leo, tunajenga maisha bora kesho. Na tukianza na familia, vijana na jamii, tunaweza kujenga kizazi chenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha na kuchangia maendeleo ya taifa.

πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ FAMILIES

Tunakuza malezi chanya, mawasiliano bora ndani ya familia, mahusiano yenye afya na familia zenye ustahimilivu.

πŸ§‘β€πŸŽ“ YOUTH

Tunawawezesha vijana kujenga self-awareness, resilience, life skills, leadership na afya bora ya akili.

🏫 SCHOOLS

Tunashirikiana na shule katika kujenga mazingira yanayolinda ustawi wa kihisia, kijamii na kiakili wa watoto na vijana.

🏘️ COMMUNITIES

Tunajenga jamii yenye uelewa wa afya ya akili, utambuzi wa mapema wa changamoto na mifumo ya msaada.

🏒 INSTITUTIONS & ORGANIZATIONS

Tunatoa mafunzo, elimu, innovation na programu zinazolenga ustawi wa watu na maendeleo ya jamii.

πŸ“ Mahali tulipo:
Same, Kilimanjaro – Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

🀝 MindShield iko tayari kushirikiana na wazazi, vijana, shule, taasisi, mashirika, viongozi na wadau wote wanaoamini katika kujenga kizazi bora.

Usisubiri crisis ianze. Tuanze kulinda akili mapema. πŸ§ πŸ’™

🌍 MINDSHIELD TRAINING & INNOVATION CENTRE
Protecting Minds Before Crisis Begins.

πŸ’™ CBHEDO – Transforming Minds, Transforming Communities.

πŸ“ž 0676 665 048
πŸ“§ [email protected]

Karibu MindShield. Karibu kwenye safari ya kubadilisha kizazi na kujenga taifa letu. πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ±

02/09/2026

πŸ”₯ MINDSHIELD – PROTECTING MINDS BEFORE CRISIS BEGINS πŸ§ πŸ’™

Familia imara hujenga jamii imara. Kupitia MindShield Training & Innovation Centre (MSTIC) chini ya CBHEDO, tunatoa elimu na uhamasishaji kwa lengo la kulinda afya ya akili na kuzuia changamoto kabla hazijawa kubwa.

🀝 TUNAKUKARIBISHA WOTE!

Je, unakutana na changamoto katika:

πŸ‘¨β€πŸ‘©β€πŸ‘§β€πŸ‘¦ Malezi ya watoto na vijana?
❀️ Changamoto za kifamilia au mahusiano?
🧠 Afya ya akili na ustawi wa vijana?
πŸ“± Matumizi ya mitandao ya kijamii kwa usahihi na usalama?
πŸ—£οΈ Mabadiliko ya tabia, hisia au mawasiliano ndani ya familia?
πŸ‘¦ Kujenga vijana wenye ujasiri, maadili na ustahimilivu?

Usisubiri changamoto ikue ndipo uanze kutafuta msaada.
🌱 Kingia akili kabla ya crisis kuanza.

πŸ“ž Wasiliana nasi: 0676 665 048
πŸ“§ Email: [email protected]

πŸ’™ MINDSHIELD
Protecting Minds Before Crisis Begins.

CBHEDO – Transforming Minds, Transforming Communities.

Address

Same
Kilimanjaro
278

Telephone

+255752869175

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cbhedo Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Cbhedo Tanzania:

Shortcuts

Share