TAWEA

TAWEA Please share your ideas, experience or any kind of support to our efforts

This page opened purposely to enhance efforts made to promote gender equality, good governance and social issues as the ways of improve welfare of vulnerable groups in the society.

Tunawatakia kheri ya sikukuu ya wafanyakazi
01/05/2026

Tunawatakia kheri ya sikukuu ya wafanyakazi

07/04/2026





08/03/2026

Happy International Women Day
''Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana Msingi Jumuishi kKufikia Dira 2050''

07/03/2026




Baada ya kukaa kikao cha makubaliano kilichohusisha wadau mbalimbali, hatua muhimu ilifikiwa ambapo baadhi ya washiriki ...
27/01/2026

Baada ya kukaa kikao cha makubaliano kilichohusisha wadau mbalimbali, hatua muhimu ilifikiwa ambapo baadhi ya washiriki walitia saini hati rasmi ya makubaliano. Miongoni mwa waliosaini ni pamoja na Mwanasheria wa Halmashauri ya Kasulu, k**a ishara ya uthibitisho na dhamira ya utekelezaji wa makubaliano yaliyofikiwa.

📸 Picha zinaonesha kwa uwazi na ushahidi hatua ya usaini ikifanyika, zikionesha uwazi, mshik**ano na dhamira ya pamoja katika kufanikisha malengo yaliyokubaliwa.






tumefanikisha kikao muhimu cha kujenga ushirikiano kati ya uongozi wa hifadhi, halmashauri ya kasulu na vijiji vinavyote...
27/01/2026

tumefanikisha kikao muhimu cha kujenga ushirikiano kati ya uongozi wa hifadhi, halmashauri ya kasulu na vijiji vinavyotekeleza mradi, kwa lengo la kuimarisha usimamizi endelevu wa rasilimali asilia na kulinda maslahi ya jamii zinazozunguka hifadhi.

Kikao hiki kilitoa fursa kwa pande zote kujadiliana kwa uwazi juu ya majukumu, haki na wajibu wa kila mshiriki, pamoja na namna bora ya kushirikiana katika utekelezaji wa shughuli za mradi.

Hatua muhimu zaidi ilikuwa ni kusainiwa kwa Hati za Makubaliano zinazoweka msingi wa ushirikiano wa kudumu kati ya hifadhi na vijiji vya mradi. Makubaliano haya yanatarajiwa kuimarisha uhifadhi wa mazingira, kuzuia migogoro, na kuongeza ushiriki wa jamii katika kulinda na kunufaika na rasilimali zilizopo.

Tunaamini kuwa ushirikiano huu ni nguzo muhimu ya mafanikio ya mradi, na ni mwanzo mzuri wa safari ya pamoja kuelekea maendeleo endelevu na uhifadhi shirikishi





15/01/2026

“Kulinda Ndoto za Wasichana: Elimu na Ulinzi Dhidi ya Mimba za Utotoni”

MY BODY MY VOICE DIGITAL YOUTH DIALOGUES REPRODUCTIVE JUSTICE IN TANZANIA
15/01/2026

MY BODY MY VOICE DIGITAL YOUTH DIALOGUES REPRODUCTIVE JUSTICE IN TANZANIA









MY BODY MY VOICE; DIGITAL YOUTH DIALOGUES REPRODUCTIVE JUSTICE IN TANZANIA
15/01/2026

MY BODY MY VOICE; DIGITAL YOUTH DIALOGUES REPRODUCTIVE JUSTICE IN TANZANIA










MY BODY MY VOICE DIGITAL YOUTH DIALOGUES REPRODUCTIVE JUSTICE IN TANZANIA
15/01/2026

MY BODY MY VOICE DIGITAL YOUTH DIALOGUES REPRODUCTIVE JUSTICE IN TANZANIA








Address

Mwanga Kusini/Kilimahewa Street
Kigoma
255

Opening Hours

Monday 08:30 - 16:30
Tuesday 08:30 - 04:30
Wednesday 08:30 - 16:30
Thursday 08:30 - 16:30
Friday 08:30 - 04:30
Saturday 09:00 - 12:30

Telephone

+255743635763

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TAWEA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to TAWEA:

Share