16/08/2026
๐ธ PAD POWER: MISSION ACCOMPLISHED! ๐ธ
Tunayo furaha kutangaza kukamilika kwa mpango wa PAD POWER! Uliyodhamiriwa na CIVISCE kwa kushirikiana na WAVE๐
Baada ya kugawa taulo za k**e na chupi kwa wanafunzi wa k**e katika shule zilizolengwa, Shule za Sekondari Kisimbu na Rubuga zilikuwa shule za mwisho kufikiwa katika awamu hii ya mwezi Agosti 2026.
Hii ni zaidi ya ugawaji wa taulo za k**e. Ni hatua ya kukuza heshima, kujiamini, afya ya hedhi, na mazingira bora ya kujifunzia kwa wasichana.
Tunawashukuru shule, walimu, wanafunzi, washirika, na wote walioshiriki kufanikisha safari hii. โค๏ธ
Mission accomplished. The journey continues!
๐ ENGLISH TRANSLATION
๐ธ PAD POWER: MISSION ACCOMPLISHED! ๐ธ
We are delighted to announce the successful completion of the PAD POWER initiative! ๐
After providing sanitary pads and underwear to girls in the targeted schools, Kisimbu and Rubuga Secondary Schools were the final schools reached in this phase in August 2026.
This initiative is about more than distributing sanitary pads. It is a step toward promoting dignity, confidence, menstrual health, and better learning environments for girls.
We thank the schools, teachers, students, partners, and everyone who contributed to making this journey possible. โค๏ธ
Mission accomplished. The journey continues!