07/08/2026
pamoja, sauti moja, dhamira moja.
Mapambano yake ni mapambano yangu ๐ค๐
Watazamaji wote pamoja na tumekusanyika si tu kushuhudia, bali kuwa sehemu ya mabadiliko na kujifunza, kushirikishana uzoefu, na kujenga jamii yenye uelewa kuhusu kifafa.
Nguvu ya pamoja ndiyo inayosukuma advocacy yetu mbele: kuondoa unyanyapaa, kuongeza uelewa, na kuhakikisha hakuna anayebaki nyuma.
Asante kwa kila mmoja aliyeshiriki hii ni hatua nyingine muhimu kuelekea jamii jumuishi na yenye huruma zaidi.
๐ TokomezaUnyanyapaa