Mburahati Baptist Church

Mburahati Baptist Church Baptist Mburahati Church is among of the Christian faith church located in Dar Es Salaam Tanzania.

We are available 24/7 to make sure that people's needs are fulfilled in the name of Jesus Christ

ZIMEBAKI SIKU 3Jina la Bwana yesu libarikiwe sana mtu wa Mungu. Tunayo furahaa juu ya ibada nzuri ya mkesha wa TUFURAHI ...
28/11/2023

ZIMEBAKI SIKU 3

Jina la Bwana yesu libarikiwe sana mtu wa Mungu. Tunayo furahaa juu ya ibada nzuri ya mkesha wa TUFURAHI KATIKA BWANA ya siku ya ijumaa hii.

Nimaombi yetu kusiwe na Neno litakalo inuka kuzuia kuwepo kwenye ibada hii. Tuna muamini Mungu kwa ajili ya kutulinda na kutusaidia kututia Nguvu sisi tumpendeo kwa Maana Furahaa ya Bwana ni Nguvu zetu . Karibu sana.




Bwana Yesu asifiwe sana mtu wa Mungu, Ibada nzuri ya mkesha wa Furahini katika Bwana itakayo fanyika tarehe 1 Disemba. T...
28/11/2023

Bwana Yesu asifiwe sana mtu wa Mungu,

Ibada nzuri ya mkesha wa Furahini katika Bwana itakayo fanyika tarehe 1 Disemba. Tunaendelea kuiombea Zaiidi na zaiidi kwa kila mtumishi wa Mungu atakaye hudumu siku iyo na kila wewe ambaye utakaye kuwa sehemu ya ibaida siku hii. Ivyo usipange kukosa, kwani mtumishi wa Mungu alie hai Ishengoma atakuwepo siku hii. Karibu sana




Bwana Yesu asifiwe sana mtu wa Mungu, Ibada nzuri ya mkesha wa Furahini katika Bwana itakayo fanyika tarehe 1 Disemba. T...
28/11/2023

Bwana Yesu asifiwe sana mtu wa Mungu,

Ibada nzuri ya mkesha wa Furahini katika Bwana itakayo fanyika tarehe 1 Disemba. Tunaendelea kuiombea ivyo usipange kukosa, kwani mtumishi wa Mungu alie hai David Justus atakuwepo siku hii. Karibu sana




Kanisa la Baptist Mburahati, tunaendelea kufurahia na kushuhudia uzuri wa Mungu kwa mambo mbalimbali kwa utukufu wa Kris...
28/11/2023

Kanisa la Baptist Mburahati, tunaendelea kufurahia na kushuhudia uzuri wa Mungu kwa mambo mbalimbali kwa utukufu wa Kristo,

Karibu kwenye Ibada nzuri ya Mkesha inayoitwa REJOICE IN THE LORD yaani (FURAHINI KATIKA BWANA) itakayo fanyika Kanisa la Baptist Mburahati kuanzia saa 3:00 usiku mpaka saa 5:00 ahsubui

Usikose tukaribie sote kwa pamoja kwa ajili ya kumfurahia Bwana kwa uzuri wake.




Kanisa la Mburahati Baptist Church, Linamshukuru MUNGU kwa ajili ya ibada Nzuri iliyo endelea ya NASEMA ASANTE. Na pia t...
28/11/2023

Kanisa la Mburahati Baptist Church, Linamshukuru MUNGU kwa ajili ya ibada Nzuri iliyo endelea ya NASEMA ASANTE. Na pia tuna mshukuru MUNGU zaiidi kwa ajili yako wewe uliye kuwa sehemu ya ibada hii Mungu wambinguni akubariki kwa ibada Njema namna hii

Karibuni sana, tena ijumaa ya 1 Disemba kwa mkesha mzuri utakao endelea wa Furahini katika Bwana kuanzia saa 3 usiku.



KUANZIA  SAA 8 MCHANA.SHALOM mtu wa MUNGU siku yetu pendwa ya ibada ya Nasema Asante itafanyika kesho, kuanzia saa 8 mch...
24/11/2023

KUANZIA SAA 8 MCHANA.

SHALOM mtu wa MUNGU siku yetu pendwa ya ibada ya Nasema Asante itafanyika kesho, kuanzia saa 8 mchana.

Kanisa la Baptist Mburahati tunakupendwa na kukuambia karibu tumshukuru MUNGU sote kwa pamoja.

Karibu Tumshukuru MUNGU sote kwa pamoja....

Joseph
Yotamu

Tuna mshukuru MUNGU kwa jumapili hii ya Neno la Baraka  ambayo MUNGU anaendelea kujifunua ndani ya Maisha ya watu kwa ma...
22/11/2023

Tuna mshukuru MUNGU kwa jumapili hii ya Neno la Baraka ambayo MUNGU anaendelea kujifunua ndani ya Maisha ya watu kwa matendo yake makuu pia ibada iliongozwa na Ev. Ishengoma M Joseph



.ishengomajoseph


Sifa za MUNGU zitadumu milele kwa uwepo wa matendo yake makuu ndani ya maisha yawamchao.
21/11/2023

Sifa za MUNGU zitadumu milele kwa uwepo wa matendo yake makuu ndani ya maisha yawamchao.





ZIMEBAKI SIKU NNE (O4)Bwana Yesu apewe sifa mtu wa Mungu. Kanisa la Baptist Mburahati linafurahaa ya kuwaleta kwenu baad...
21/11/2023

ZIMEBAKI SIKU NNE (O4)

Bwana Yesu apewe sifa mtu wa Mungu. Kanisa la Baptist Mburahati linafurahaa ya kuwaleta kwenu baadhi ya wahudumu watakao kuwa pamoja nasi katika ibada nzuri ya NASEMA ASANTE . Zimebaki siku nne. KARIBU TUMSHUKURU MUNGU sote kwa Pamoja.





Kanisa la Baptist Mburahati, Linamshukuru Mungu kwa ajili ya ibada nzuri iliyo endelea siku ya jana katika Neema ya Mung...
20/11/2023

Kanisa la Baptist Mburahati, Linamshukuru Mungu kwa ajili ya ibada nzuri iliyo endelea siku ya jana katika Neema ya Mungu juu ya Familia ipya iliyo ungana nasi katika madhabahu ya Mburahati kwa mara ya kwanza. Tunaendelea kukukaribisha karibu tuabudu pamoja katika kila ibada, mahari ni Mburahati Baptist Church. KARIBU SANA




Kuishi Maisha ya ufanisi na ubora yaliyo jaa Amani na Furahaa lazima ujitengenezee kuishi katika maisha yenye mfumo wa m...
16/11/2023

Kuishi Maisha ya ufanisi na ubora yaliyo jaa Amani na Furahaa lazima ujitengenezee kuishi katika maisha yenye mfumo wa mipaka.

Kwasababu Mipaka itakufanya kutegemea mengi zaiidi kutoka kwa Mungu na sio Mwanadamu, na katika kumtegemea Mungu nakuhakikishia hakuna siku utakayo kuja kusema mtu fulani amekuwa kikwanzo katika kuishi kwako.

Karibu sana Leo katika kanisa la Baptist lilopo Mburahati kwa ajili ya Ibada ya Maombi na Maombezi kuanzia saa 11:00pm wagonjwa na wenye mahitaji mbalimbali Mungu kupitia ibada hii MUNGU atakuwa sehemu ya kukuhudumia.





Kanisa la Baptist Mburahati, Tuna mshukuru MUNGU kwa ajili ya Neema na kibali  Chake kwa ajili ya ibada Nzuri iliyo jaa ...
13/11/2023

Kanisa la Baptist Mburahati, Tuna mshukuru MUNGU kwa ajili ya Neema na kibali Chake kwa ajili ya ibada Nzuri iliyo jaa ukutukufu wake, ambayo tulikuwa anayo siku ya jana.

Tunaendelea Kumshukuru zaiidi Mungu kwa wegeni mlio jiunga pamoja nasi katika ibada hii MUNGU wa mbinguni awabariki sana.

Ramani ya Jinsi ya kufika
https://g.co/kgs/N1gtHF




Address

Kigamboni

Telephone

+255655737140

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mburahati Baptist Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mburahati Baptist Church:

Share