TUGHE -Tanzania

TUGHE -Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from TUGHE -Tanzania, Charitable organisation, Mkoani A Street, Kibaha.

As government and health workers of the United Republic of Tanzania our main task is to provide services to all Tanzanians, a noble and better service to the whole community together civil servants and health sectors

13/05/2026

Je unafahamu haki zako pale unapotakiwa kufanya kazi wakati ukiwa likizo au wakati wa Siku za Sikukuu? Kufahamu kuhusu hili msikilize Mwanasheria Wetu akifafanua zaidi kisna tupe maoni yako

 ’s Day❤️❤️
10/05/2026

’s Day❤️❤️

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) Cde. Hery Mkunda ameongoza kikao cha Menejimen...
08/05/2026

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) Cde. Hery Mkunda ameongoza kikao cha Menejimenti kilichofanyika leo Ijumaa tarehe 08 Mei 2026 katika Ukumbi wa TUGHE Makao Makuu Kibaha Pwani.

Katika kikao hicho pamoja na mambo mengine kilijadili masuala mbalimbali ya Utendaji sambamba na kufanya tathmini ya utendaji kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka pamoja na kuweka mikakati ya Utekelezaji wa mipango ya Chama kwa kipindi cha mwaka kilichosalia

Katibu Mkuu wa TUGHE ambaye pia ni Katibu Mkuu wa .tanzania alipokuwa akiwasilisha Risala ya  Wafanyakazi wakati wa Kile...
08/05/2026

Katibu Mkuu wa TUGHE ambaye pia ni Katibu Mkuu wa .tanzania alipokuwa akiwasilisha Risala ya Wafanyakazi wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Mei Mosi Kitaifa Njombe 2026

2
SEHEMU YA RISALA

07/05/2026

Migrant Workers Resource Centre under .tanzania tembelea kupata taarifa zaidi

*KAMATI YA UTENDAJI TUGHE YAKUTANA*Na. Mwandishi Wetu, NJOMBEMwenyekiti wa TUGHE Taifa, Cde. Joel Kaminyoge ameongoza ki...
02/05/2026

*KAMATI YA UTENDAJI TUGHE YAKUTANA*

Na. Mwandishi Wetu, NJOMBE

Mwenyekiti wa TUGHE Taifa, Cde. Joel Kaminyoge ameongoza kikao cha Siku mbili Cha Kamati ya Utendaji ya Baraza Kuu TUGHE kilichofanyika Mkoani Njombe.

Pamoja na mambo mengine Kikao hicho kilipokea na kujadili taarifa ya utendaji kazi wa Chama kwa kipindi cha Robo ya kwanza ya mwaka 2026 ambapo wajumbe walieleza kufurahishwa na utendaji mzuri wa Chama hususani katika kuongeza wanachama wapya na kufanya mapato kuongezeka.

Aidha kupitia kikao hicho taarifa pamoja na mapendekezo mbalimbali za kamati yaliwasilishwa na kujadiliwa ikiwemo Taarifa ya Kamati ya Uchumi na Uwekezaji, Kamati ya Sare, Mapendekezo Kamati ya Wanawake pamoja na taarifa kutoka kamati ya maadili.

DR.MADETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI TUGHE Na Mwandishi Wetu, NJOMBEMakamu Mwenyekiti  TUGHE Taifa ambaye ndiye...
02/05/2026

DR.MADETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA MAADILI TUGHE

Na Mwandishi Wetu, NJOMBE

Makamu Mwenyekiti TUGHE Taifa ambaye ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili TUGHE aliongoza kikao cha Kamati ya Maadili kilichofanyika Jumatano tarehe 29 Aprili 2026 Mkoani Njombe.

Kikao hicho kilihudhuriwa na Wajumbe wa Kamati hiyo ambapo pamoja na mambo mengi walipata nafasi ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu maadili ndani ya Chama.

Hongereni kwa Mei Mosi TUGHE Manispaa ya ILEMELA🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
02/05/2026

Hongereni kwa Mei Mosi TUGHE Manispaa ya ILEMELA🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿

ASANTENI WANACHAMA WETU🔥🇹🇿 Tuma picha zote za Matukio ya Jana Mei Mosi tuweze kuziposti .tanzania
02/05/2026

ASANTENI WANACHAMA WETU🔥🇹🇿 Tuma picha zote za Matukio ya Jana Mei Mosi tuweze kuziposti .tanzania

Address

Mkoani A Street
Kibaha

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TUGHE -Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to TUGHE -Tanzania:

Share