Chavita Pwani Branch

Chavita Pwani Branch An NGO that advocates for the rights of Deaf people to improve their standard of living

Tunawatakia ndugu zetu Wakristo Pasaka njema, iliojaa baraka tele🙏🏾
20/04/2025

Tunawatakia ndugu zetu Wakristo Pasaka njema, iliojaa baraka tele🙏🏾

Happy Karume Day! 🤟🏾
07/04/2025

Happy Karume Day! 🤟🏾


TAASISI YA NORGES VEL YATEMBELEA CHAVITAMkurugenzi wa Maendeleo ya Kimataifa wa shirika lisilo la kibiashara la Norges V...
28/03/2025

TAASISI YA NORGES VEL YATEMBELEA CHAVITA

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Kimataifa wa shirika lisilo la kibiashara la Norges Vel, Bi. Anita Saebae, ametembelea makao makuu ya CHAVITA leo kwa ziara fupi ya kujifunza, kujadiliana, na kushauriana kuhusu ushirikishwaji wa Watu Wenye Ulemavu katika sekta ya kilimo nchini Tanzania. Kikao hicho pia kiliwahusisha viongozi wa taifa wa Shirikisho la Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA).

Tunendelea kujitahidi kujenga jamii inayojumuisha watu wenye ulemavu ambapo tunapewa fursa za kufanya maamuzi, kutoa maoni yetu na kustawi, tukikua kuwa watu bora zaidi.

******************************************************

The Director of International Development at the non-profit organization Norges Vel, Ms. Anita Saebae, visited CHAVITA Headquarters today for a brief learning, discussion, and consultation session on the inclusion of Persons with Disabilities in Tanzania’s agricultural sector. The meeting also included national leaders from the Federation of Disabled People’s Organizations in Tanzania (SHIVYAWATA).

We continue to strive for an inclusive society for persons with disabilities where we are given opportunities to make decisions, give our input and thrive, becoming the best version of ourselves .

Happy 2025!🤟🏾💪🏾
01/01/2025

Happy 2025!🤟🏾💪🏾

CHAVITA inawatakia wote Heri ya Sikuukuu ya Krismasi🎄🤟🏾Tusherehekee kwa upendo, mshikamano, na matumaini ya kesho bora k...
25/12/2024

CHAVITA inawatakia wote Heri ya Sikuukuu ya Krismasi🎄🤟🏾
Tusherehekee kwa upendo, mshikamano, na matumaini ya kesho bora kwa wote . Pamoja tunaweza kujenga jamii jumuishi inayomjali kila mmoja.🤟🏾💪🏾

Heri ya Sikukuu ya Uhuru Tanzania 💪🏾
09/12/2024

Heri ya Sikukuu ya Uhuru Tanzania 💪🏾

Tukumbuke hakuna kitu kinachotuhusu sisi bila sisi💪🏾
03/12/2024

Tukumbuke hakuna kitu kinachotuhusu sisi bila sisi💪🏾



Leo tumefurahi kushiriki kwenye kongamano la kipekee kuhusu afya ya uzazi, hasa kwa watu wenye ulemavu, lililoandaliwa n...
02/12/2024

Leo tumefurahi kushiriki kwenye kongamano la kipekee kuhusu afya ya uzazi, hasa kwa watu wenye ulemavu, lililoandaliwa na Hospitali ya Marie Stopes Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA). Kwa kuwa tunmebakiza masaa tu kusherehekea Siku ya Watu wenye Ulemavu Duniani, tukio hili ni muhimu katika kuhamasisha kuhusu changamoto maalum wanazokutana nazo watu wenye ulemavu. Kauli mbiu ya mwaka huu, “Kukuza uongozi wa watu wenye ulemavu kwa ajili ya mustakabali jumuishi na endelevu,” inakubaliana kikamilifu na mijadala na suluhu zilizojadiliwa leo. Pamoja, tunaweza kujenga dunia jumuishi na sawa kwa wote.

****************

Today, we got to attend a groundbreaking conference on sexual reproductive health, especially for persons with disabilities, organised by Marie Stopes Hospital Tanzania in collaboration with Tanzania Federation of Disabled People’s Organisations (SHIVYAWATA). As we approach the International Day of Persons with Disabilities which is a couple of hours away, this event is crucial in raising awareness about the unique challenges faced by persons with disabilities. This year’s theme, “Amplifying the leadership of persons with disabilities for an inclusive and sustainable future,” perfectly aligns with the discussions and solutions being shared today. Together, we can create a more inclusive and equitable world for all.



🙏🏾🕊️
22/10/2024

🙏🏾🕊️

Tutakukumbuka daima Baba wa Taifa✊🏾🤟🏾
14/10/2024

Tutakukumbuka daima Baba wa Taifa✊🏾🤟🏾

Leo ni leo! Kilele cha Wiki ya Viziwi Duniani kimefika🥳 Tuna furaha ilioje?💃🏾🕺🏾Viziwi tunaweza Viziwi tuna akili Viziwi ...
28/09/2024

Leo ni leo! Kilele cha Wiki ya Viziwi Duniani kimefika🥳 Tuna furaha ilioje?💃🏾🕺🏾

Viziwi tunaweza
Viziwi tuna akili
Viziwi tuna uwezo
Viziwi tuna vipaji
Viziwi tuna lugha
Viziwi tuna umoja
Viziwi tuna upendo

Heri ya Siku ya Viziwi Duniani🤟🏾
Tunajivunia kuwa viziwi 💪🏾

Wiki ya Kimataifa ya Viziwi inakaribia!Tumeshaanza kuhesabu siku! Wewe je?Ikiwa kaulimbiu ya mwaka huu ni “Ungana nasi K...
23/08/2024

Wiki ya Kimataifa ya Viziwi inakaribia!
Tumeshaanza kuhesabu siku! Wewe je?

Ikiwa kaulimbiu ya mwaka huu ni “Ungana nasi Kutetea Haki za Lugha ya Alama,” uko tayari kuungana nasi tunaposherehekea wiki yetu maalum?

Tutasherehekea wiki yetu maalum katika mkoa wa Shinyanga mwaka huu! Je utakuja?

Sisi tuna furaha, je wewe una furaha?
# # #

🤟🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾🤟🏾

International Week of Deaf People is getting closer!
We have started the countdown! Have you?

With this year’s theme being “Sign up for Sign Language Rights” , are you ready to join hands with us as we celebrate our special week?

We will be commemorating our special week in Shinyanga region this year!Are you coming?

We are excited, are you excited?

Address

Pwani Region
Kibaha

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255713167227

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chavita Pwani Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Chavita Pwani Branch:

Share