Prince ONE BFI

Prince ONE BFI KARIBU KWENYE PAGE YANGU INFORMATIONAL OFFICIAL

27/02/2026
27/02/2026
Huyu dogo alikuwa na miaka 19 tu yaani umri ambao washikaji wengi mtaani bado wanawaza mademu na kuomba hela ya bando kw...
24/02/2026

Huyu dogo alikuwa na miaka 19 tu yaani umri ambao washikaji wengi mtaani bado wanawaza mademu na kuomba hela ya bando kwa wazazi lakini yeye alikuwa katikati ya moto wa vita kule Vietnam, mwaka 1967.

Siku hiyo, kikosi kilikuwa kimejificha kwenye msitu mnene, ghafla wakavamiwa na maadui. Risasi zikaanza kupita k**a mvua, mabomu yanapasuka kila upande, yaani ilikuwa ni balaa tupu! Askari wenzake wakaanza kurudi nyuma ili kujiokoa maana hali ilikuwa tete kifyoto..

Lakini Dogo akagoma kukimbia! Alibaki kwenye nafasi yake huku akiwa peke yake. Maadui walikuwa wanakuja k**a nzige, akawa anawapunguza mmoja baada ya mwingine kwa bunduki yake. Bunduki ikiisha risasi, anachomoa magazine , anaweka mpya kifyoto, na kuendelea kutoa kichapo.

Wale maadui walijaribu kila mbinu kumzidi nguvu Dogo maana alikuwa amezungukwa na watu wengi kuliko yeye.
Pamoja na kupata majeraha mabaya ya risasi, dogo hakusalimu amri wala hakupiga kelele ya kuomba po! Alipambana mpaka risasi zake zote zilipoisha na nguvu zikamwishia kabisa...

Vita vilipoisha, washikaji zake walirudi kule alipokuwa Walichokikuta ni ufyoto wa hatari.
Dogo alikuwa amelala pale, lakini tayari ameshafariki
Karibu yake kulikuwa na miili 23 ya maadui aliowatandika peke yake!.

Huyu bwana Mdogo anaitwa Gary...
Nisameheni sana kwa kumuita dogo ni mzee wangu.

Follow channel zetu watssap
https://whatsapp.com/channel/0029VbAynWb7IUYY5Bfgwj2j

Address

Kariakoo

Telephone

+255620190982

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prince ONE BFI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share