12/08/2026
๐๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ ๐ฒ๐ ๐๐๐ฆ๐๐จ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ง๐ข!
Leo, tunaadhimisha mojawapo ya wanyamapori mashuhuri na wa kipekee barani Afrika โ tembo wa savanna wa Afrika na kutafakari umuhimu wa kulinda mandhari wanayoishi.
Kwa STEP, uhifadhi wa tembo si kulinda tembo pekee; ni kulinda mifumo ya ikolojia na jamii kwa ajili ya vizazi vijavyo vinavyotegemea mandhari hii.
Tunafanya hivyo ๐ข๐ฅ๐ข ๐ค๐ฎ๐ฅ๐ข๐ง๐๐ ๐ฆ๐๐ค๐๐ณ๐ข ๐ฆ๐ฎ๐ก๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐ ๐ญ๐๐ฆ๐๐จ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฆ๐๐ง๐๐ก๐๐ซ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฎ๐๐ก๐-๐๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐ ๐ง๐ ๐๐๐ณ๐ฎ๐ง๐ ๐ฐ๐, ikiwemo kusaidia doria, pamoja na kuwajengea uwezo na kuwapatia vifaa askari wa wanyamapori na Askari wa Vijiji (VGS) ili kutekeleza majukumu yao kwa usalama na weledi.
๐๐๐ค๐ข๐ง๐ข ๐ฎ๐ก๐ข๐๐๐๐ก๐ข ๐ฉ๐ข๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฆ๐๐๐ง๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐ฐ๐ ๐๐ฆ๐๐ง๐ข ๐ค๐๐ญ๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ข๐ง๐๐๐๐ฆ๐ฎ ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ง๐ฒ๐๐ฆ๐๐ฉ๐จ๐ซ๐ข. Kwa kushirikiana na wakulima na jamii, STEP inatafuta njia za vitendo za kulinda mazao dhidi ya tembo, kuimarisha usalama wa watu, na kuboresha maisha na ustahimilivu wa jamii.
Kulinda tembo kunahitaji ushirikiano imara, ushirikishwaji wa jamii, na ulinzi wa muda mrefu wa maeneo wanayoishi na kutegemea.
๐๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐๐ข๐ค๐ฎ ๐ก๐ข๐ข ๐ฒ๐ ๐๐๐ฆ๐๐จ ๐๐ฎ๐ง๐ข๐๐ง๐ข, tunawapongeza na kuwashukuru wote wanaofanya kazi kila siku kuhakikisha tembo wanaendelea kuwepo na kustawi katika mandhari za Tanzania.
๐๐ฐ๐ ๐ฉ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐ ๐ง๐ข ๐ฃ๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ฅ๐๐ญ๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ก๐๐ค๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ญ๐๐ฆ๐๐จ ๐ฐ๐ ๐๐๐ง๐ณ๐๐ง๐ข๐ ๐ฐ๐๐ง๐๐๐ง๐๐๐ฅ๐๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ญ๐๐ฆ๐๐๐ ๐ค๐ฐ๐ ๐ฎ๐ก๐ฎ๐ซ๐ฎ ๐ค๐๐ญ๐ข๐ค๐ ๐ฆ๐๐ค๐๐ณ๐ข ๐ฒ๐๐จ
# UhifadhiWaVitendo