23/09/2026
For street connected youth people, your support can open the door to dignity, opportunity, and a better future.
Give what you can. Be part of the change
Kwa vijana wanaoishi na kufanya kazi mtaani, mchango wako unaweza kuwa mwanzo wa fursa mpya chakula, mavazi, elimu, usafi na nafasi ya kujenga maisha bora.
Changia ulichonacho, tujenge matumaini kwa pamoja.
📞 0745 634 359
RLabs Tanzania Making Hope Contagious.