23/03/2026
Mpaka sasa bado unasita kutuma maombi? ✍️
Tunajua vile inavyokuwa, wakati mwingine unajihisi k**a hutoshi, au pengine unajiuliza: "Hivi nina vigezo kweli?" au "Nikikosea kujaza itakuwaje?" Usiruhusu hofu ikupotezee nafasi ya kukua! Karibu kwenye Info Session yetu ya mtandaoni itakayoongozwa na wahitimu wa programu hii ya Youth Leadership 2025/2026. Hawa ni watu waliokuwa na hofu k**a yako, na wako tayari kukupa muongozo kuhusu:
✅ Kutuma Maombi: Jinsi ya kujaza fomu yako vizuri ili uweze kuchaguliwa.
✅ Shuhuda: Walivyoweza kushinda uoga na kufanikiwa kupita.
✅ Maswali na Majibu: Uliza chochote kinachokuchanganya, hakuna swali dogo
Lini: 25/03/2026
Wapi: Google Meet (link ipo kwenye comments 🔗)
Muda: 2.30 pm (saa 8 na nusu mchana)
Acha kuwaza sana, chukua hatua sasa! Tukutane hapo! 🚀
Cc;