TK Movement Wilaya Geita

TK Movement Wilaya Geita MZALENDO WA NCHI

.*TAIFA LETU,KESHO YETU (TK)* MOVEMENT
Ni mtandao wa vijana unaoendesha vuguvugu la kujitolea ndani na nje ya Mipaka ya Tanzania ili kuleta mapinduzi ya kifikra kwa jamii na kuamini mgao sawa wa rasilimali ni haki ya kila raia. Vile vile kuunganisha vijana, Makundi Maalumu na wanawake na kuhamasisha ushiriki wao wa moja kwa moja kwenye fursa mbalimbali za kuchochea kasi ya Maendeleo nchini katika

nyanja za Kiuchumi, Kijamii, Kidigitali na Kiutamaduni bila kujali tofauti za kidini, Itikadi, Vyama, Ukabila ama ukanda.

*DIRA YA TK MOVEMENT.*
Kutengeneza Mtandao imara wenye lengo la kuleta Mapinduziya Kifikra kwa Vijana, makundi maalumu na Wanawake nchini.

*MISHENI YA TK MOVEMENT.*
- Mapinduzi ya kifikra kwa jamii.
- Mapinduzi ya Kiuchumi.
- Kuunganishana kwenye fursa mbalimbali za Kimaendeleo.
- Kuelezea mazuri yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita.

*NAMNA TK INAVYOFANYA KAZI*
TK movement inaendesha shughuli zake kwa kujitolea kwa wafuasi na wanachama wake, vile vile inafanya shughuli za kuigusa jamii nchini kote ili kutimiza malengo yake.

*TK inakukaribisha Kijana wa Kitanzania na mpenda Maendeleo tushikane pamoja kuisaidia Tanzania yetu.*


*Crafted by**Alpha Graphics & Design*_Creative Solutions_ | WhatsApp *+255 786 680 122*
20/12/2025

*Crafted by*
*Alpha Graphics & Design*
_Creative Solutions_

| WhatsApp
*+255 786 680 122*

Address

NYANKUMBU
Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TK Movement Wilaya Geita posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share