Barnaba Benson Page

Barnaba Benson Page Usisahahu Kutabasamu

24/02/2026

Hatimaye hali ya sintofahamu iliyokuwepo kwa zaidi ya miezi mitatu katika Mtaa wa Afya Kata ya Ludete Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro mkoani Geita imefikia tamati, baada ya familia ya aliyekuwa balozi wa nyumba kumi Shina namba 18, Costantini Juakali, kusamehewa na kurejeshwa rasmi katika jamii iliyokuwa imemtenga.

Hatua hiyo imetokana na juhudi za Mkuu wa Wilaya ya Geita, Hashim Komba, aliyechukua hatua ya kufika moja kwa moja mtaani hapo akiambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, kusikiliza hoja za pande zote na kusimamia upatikanaji wa suluhu.

02/01/2026

Ee Mungu wetu, tunakushukuru kwa kutuvusha salama na kutujalia kuiona mwaka mpya 2026. Asante kwa ulinzi, uzima, baraka na matumaini mapya. Tunaweka mwaka huu mikononi Mwako, utuongoze, utubariki na utujaze amani. Amina.
#2026

29/12/2025

Usiishi kwa makofi ya watu wala usivunjike kwa chuki yao.
Fanya bidii kwa sababu ya ndoto yako, si kwa ajili ya kuridhisha hisia za wengine.
Ukizidi, nyamaza, endelea kujifunza, na heshimu kila mtu.

28/12/2025

Like, Share, Comment 🙏

Address

Geita

Telephone

+255627101399

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Barnaba Benson Page posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Barnaba Benson Page:

Shortcuts

Share