Kijani Consult Tanzania

Kijani Consult Tanzania Kijani Consult Tanzania is an NGO that promote sustainable lifestyles

05/04/2026
19/02/2026

Kijani consult Tanzania

Moja ya wanyama tulio waona, na kujua tabia zake ni fisi.

Fisi wa Serengeti ni wahuni wa porini! ๐Ÿ˜… Pia wana tabia za kipekee:

- Wawindaji wa usiku
- Wanapenda kula mizoga
- Wana nguvu na ujanja wa kuwinda kwa pamoja
- Wana sauti kubwa za kucheka (hyaena laugh)
- Wana tabia ya kupora nyama toka kwa wanyama wala nyama k**a chita, chui na mbwa mwitu.

Wakiwa Serengeti, wanafurahia malisho ya nyika na kuwinda wanyama wadogo. Umewahi kuwona! ๐Ÿ˜Š

*HABARI WATALII WENZANGU ??*  _Mara baada ya pilika pilika za January, watoto shule, Ada, stress za Mwaka jana. Sasa ni ...
14/01/2026

*HABARI WATALII WENZANGU ??*
_
Mara baada ya pilika pilika za January, watoto shule, Ada, stress za Mwaka jana. Sasa ni muda wa kujipongeza ndani ya Serengeti!!!!_

Hatimae muda na siku ya safari yetu ya siku ya *WAPENDANAO* katika mbuga ya *SERENGETI* imekaribia. Kutokana na mapendekezo yetu maelekezo ya safari yatakua ni k**a ifuatavyo:

Safari yetu itaanza usiku wa:
TAREHE: *13/02/2026* Siku ya Ijumaa.
MUDA WA KUWASILI: *SAA 4:00 USIKU*
MUDA WA KUONDOKA: *SAA 5:00 USIKU*
MAHALI PA KUKUTANA: *KISASA (JIRANI PUB)*

*NB* : *Kuhusu Malipo:*
Wale wote waliokua wamelipa tayari malipo yao yameamishiwa katika safari hii. Hivyo, wote Mnakaribishwa sana. Aidha, kwa wale tulokua tumelipa kiasi Sasa ni muda wetu kumalizia kabisa. Kwa ambao bado pia nafasi bado zipo wazi kabisa....Wote Mnakaribishwa.
*Njoo na mwenzi wako mfurahi!! Njooni tukaburudike ndani ya Serengeti!!*

Kwa maoni zaidi, Mawasiliano yako wazi muda woteee. Simu ziite๐Ÿ“ž๐Ÿ“ž +255 713 803 491

Maendeleo ya Shamba Darasa la Mahindi (mbegu ya T105 kutoka ASA) kwa wanufaika wa Mradi wa Kilimo Rafiki โ€“ Geita yanaend...
03/12/2025

Maendeleo ya Shamba Darasa la Mahindi (mbegu ya T105 kutoka ASA) kwa wanufaika wa Mradi wa Kilimo Rafiki โ€“ Geita yanaendelea vizuri!

Mradi huu unatekelezwa na Kijani Consult Tanzania kwa kushirikiana na DIB, chini ya ufadhili wa CISU, ili kuongeza ujuzi na uzalishaji kwa wakulima kupitia mbinu bora za kilimo.
ngo

Address

Nzuguni C
Dodoma
2611

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255686928828

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kijani Consult Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Kijani Consult Tanzania:

Shortcuts

Share