Glaring Future Foundation

Glaring Future Foundation An NGO aiming at empowering youths and special groups in social and economic aspects for a sustainable community

Glaring Future Foundation (GFF) inatoa salamu za heri ya Krismasi kwa wadau wetu wote—washirika, wafadhili, viongozi wa ...
25/12/2025

Glaring Future Foundation (GFF) inatoa salamu za heri ya Krismasi kwa wadau wetu wote—washirika, wafadhili, viongozi wa serikali, jamii tunazohudumia na umma kwa ujumla.

Tunawatakia Krismasi yenye amani, mshikamano na matumaini mapya, huku tukitafakari umuhimu wa upendo, utu na uwajibikaji wa pamoja katika kujenga jamii jumuishi na yenye usawa.

Tunawashukuru kwa ushirikiano na uungwaji mkono wenu endelevu katika kutimiza dhamira yetu ya kuwawezesha watoto, vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.

Heri ya Krismasi na maandalizi mema ya Mwaka Mpya.

We’re 6!Today, Glaring Future Foundation turns 6 years since registration 💛From a simple vision to a growing movement im...
22/07/2025

We’re 6!

Today, Glaring Future Foundation turns 6 years since registration 💛

From a simple vision to a growing movement impacting lives, creating hope and breaking barriers for children, youth, women and people with disabilities.

Asante sana to everyone who has been part of this journey – our beneficiaries, partners, team, volunteers and supporters. This milestone is because of YOU.

🌟 Here’s to more impact, more inclusion and more hope for a glaring future!



Address

Dodoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 16:00
Tuesday 09:00 - 16:00
Wednesday 09:00 - 16:00
Thursday 09:00 - 16:00
Friday 09:00 - 16:00

Telephone

+255743117788

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Glaring Future Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Glaring Future Foundation:

Share