MALAS ADVENTURES COMMUNITY

MALAS ADVENTURES COMMUNITY Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MALAS ADVENTURES COMMUNITY, Community Organization, Dodoma.

💠We are a TOURIST INFORMATION CENTRE.
💠We promote tourist destinations.
💠We write articles on tourism, culture, wildlife, and environment conservation.
💠We coordinate study tours for schools and social groups in Tanzania.

Happy new year to you all. 2026 is a year of Structure Building. We plan to touch lives of MALAS family members with a g...
01/01/2026

Happy new year to you all. 2026 is a year of Structure Building.
We plan to touch lives of MALAS family members with a greater positive impact.


MALAS ADVENTURES COMMUNITY (MAC) ni Jumuiya ya Utalii (isiyo ya kiserikali na inafanya kazi kwa kujitolea) inayojumuisha...
26/09/2025

MALAS ADVENTURES COMMUNITY (MAC) ni Jumuiya ya Utalii (isiyo ya kiserikali na inafanya kazi kwa kujitolea) inayojumuisha vijana, wanafunzi katika fani mbalimbali, wadau wa utalii, wote wakiunganishwa na upendo wa uhifadhi na utalii.

MAJUKUMU YA MAC.
1. Kutangaza vivutio vya utalii.
2. Kuandika makala za utalii.
3. Kuratibu safari za kitalii za shule na vikundi vya kijamii.
4. Kushirikiana na asasi na taasisi za kitalii ili kukuza utalii, utamaduni, na uhifadhi.

MAWASILIANO.
WhatsApp: https://wa.me/255741131114

Website: https://www.malas.co.tz

Instagram:
https://www.instagram.com/malas_community

Facebook:
https://www.facebook.com/malascommunity

TikTok:
https://www.tiktok.com/malas_community

YouTube:
https://www.youtube.com/

Telegram:
https://t.me/malas_community

RASMI!Jumuiya ya  na  tunayo website. Kwenye website tumeangazia mambo mbalimbali k**a vile; Ijue MALAS COMMUNITY, Utali...
01/09/2025

RASMI!
Jumuiya ya na tunayo website. Kwenye website tumeangazia mambo mbalimbali k**a vile; Ijue MALAS COMMUNITY, Utalii wa Tanzania, na Utalii kwa ujumla wake. Karibu tubinjari pamoja nasi.

>>>> www.malas.co.tz https://www.malas.co.tz


TTB and UDOMMnamo tarehe 12.04.2025 wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) walipata nafasi na wasaa kutembelea Of...
22/04/2025

TTB and UDOM
Mnamo tarehe 12.04.2025 wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) walipata nafasi na wasaa kutembelea Ofisi za Bodi ya Utalii, kanda ya Kati zilizopo Dodoma mjini.

Safari hii iliratibiwa na MALAS ADVENTURES COMMUNITY kwa kushirikiana na wanafunzi wa Utalii. Wanafunzi wa UDOM waliweza jifunza mambo mbalimbali k**a vile Utalii ndani ya Tanzania, fursa zilizopo kwenye sekta hii, mchango wa Bodi ya Utalii (TTB) kwenye sekta ya utalii nchini.

Pamoja na hayo pia wanafunzi waliweza kupigia kura vivutio vya utalii vilivyoainishwa kwenye tuzo za 2025 World Travel Awards. Zoezi hili lilisimamiwa na watumishi wa TANAPA pamoja na TTB.

Jumuiya ya MALAS ADVENTURES tunaandaa safari za kitalii na za kujifunza kwa wanafunzi na vikundi vya kijamii. Karibu tuukuze utalii wetu.

VOTE NOW (TANAPA)Timu ya MALAS ADVENTURES COMMUNITY kwa hiari tumechagua kuunga mkono juhudi za TANAPA mkoa wa Dodoma  k...
17/04/2025

VOTE NOW (TANAPA)
Timu ya MALAS ADVENTURES COMMUNITY kwa hiari tumechagua kuunga mkono juhudi za TANAPA mkoa wa Dodoma katika kuhamasisha Watanzania kupigia kura vivutio vya utalii vya Tanzania ambavyo vipo katika kuwania tuzo za World Travel Awards 2025.
Tunazunguka maeneo kadhaa ndani ya Dodoma. Hapa ni Chuo cha Mipango (IRDP) - Dodoma ambapo wanafunzi wamekuwa na mwitikio mkubwa katika kupigia kura vivutio kumi vilivyopo kwenye vipengele nane.
Daima tupo tayari kuunga mkono juhudi yoyote inayofanywa na taasisi za utalii Tanzania ili kuitangaza Tanzania kimataifa katika sekta ya utalii.

World Travel Awards (www.worldtravelawards.com/vote)
1. Africa's leading National park
>>Serengeti national park

2. Africa's leading tourist attraction
>>Mount Kilimanjaro

3. Africa's leading Big 5 National park
>>Serengeti national park
>>Nyerere national park

4. Africa's leading Cultural national park
>>Ruaha national park
>>Katavi national park

5. Africa's leading Honeymoon destination national park
>>Kitulo national park

6. Africa's leading Scenic national park
>>Nyerere national park

7. Africa's leading Elephant paradise national park
>>Tarangire national park

8. Africa's leading Mountain National park
>>Arusha national park
>>Kilimanjaro national park
>>Mahale national park
>>Udzungwa national park


VOTE NOW (TANAPA)Timu ya MALAS ADVENTURES COMMUNITY kwa hiari tumechagua kuunga mkono juhudi za TANAPA mkoa wa Dodoma  k...
17/04/2025

VOTE NOW (TANAPA)
Timu ya MALAS ADVENTURES COMMUNITY kwa hiari tumechagua kuunga mkono juhudi za TANAPA mkoa wa Dodoma katika kuhamasisha Watanzania kupigia kura vivutio vya utalii vya Tanzania ambavyo vipo katika kuwania tuzo za World Travel Awards 2025

Tunazunguka maeneo kadhaa ndani ya Dodoma. Hapa ni Chuo cha St. John's (St. John's University of Tanzania, Dodoma) ambapo wanafunzi wamekuwa na mwitikio mkubwa katika kupigia kura vivutio kumi vilivyopo kwenye vipengele nane.

Daima tupo tayari kuunga mkono juhudi yoyote inayofanywa na taasisi za utalii Tanzania ili kuitangaza Tanzania kimataifa katika sekta ya utalii.

World Travel Awards (www.worldtravelawards.com/vote)
1. Africa's leading National park
>>Serengeti national park

2. Africa's leading tourist attraction
>>Mount Kilimanjaro

3. Africa's leading Big 5 National park
>>Serengeti national park
>>Nyerere national park

4. Africa's leading Cultural national park
>>Ruaha national park
>>Katavi national park

5. Africa's leading Honeymoon destination national park
>>Kitulo national park

6. Africa's leading Scenic national park
>>Nyerere national park

7. Africa's leading Elephant paradise national park
>>Tarangire national park

8. Africa's leading Mountain National park
>>Arusha national park
>>Kilimanjaro national park
>>Mahale national park
>>Udzungwa national park

9. Africa's leading Tourist board
>>Tanzania Tourist Board

10. Africa's leading destination
>>Tanzania


VOTE NOW. Kuwa mzalendo kwa Vivutio vya Tanzania pale unapochukua hatua kupiga kura katika tuzo za World Travel Awards (...
16/04/2025

VOTE NOW. Kuwa mzalendo kwa Vivutio vya Tanzania pale unapochukua hatua kupiga kura katika tuzo za World Travel Awards (www.worldtravelawards.com/vote)

03/03/2025

Weka order ya tshirt bora kabisa aina ya polo.Rangi za pendekezo ni Nyeupe, Nyeusi, na Kaki.
05/12/2024

Weka order ya tshirt bora kabisa aina ya polo.
Rangi za pendekezo ni Nyeupe, Nyeusi, na Kaki.

Address

Dodoma
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MALAS ADVENTURES COMMUNITY posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share