Tanzania ECD Network

Tanzania ECD Network TECDEN- Tanzania Early Childhood Development Network. A National umbrella of Early Childhood Development Civil Society Organizations working in partnership to promote early childhood development in Tanzania by influencing change in policies and programs.

Tanzania Early Childhood Development Network (TECDEN) is a national umbrella network of Early Childhood Development (ECD) Civil Society Organizations working in partnership to promote early childhood development in Tanzania.

TECDEN envision a society where all children are developmentally on to reach their full potential. TECDEN is determined to work collaboratively with other networks, coalit

ions, institution, the private sector, the government, development partners and other potential stakeholders to influence policies, programs and practices related to early Childhood Development. This can be achieved through sharing of information, experience and generating knowledge; and work towards early investments in young children of 0-8 years in Tanzania.

TECDEN was found in December 2000. It was formally registered on 30th June 2004 with registration NO:00NGO/00007826 by the Registrar of Societies, Ministry of Home Affairs under the societies' ordinance, 1954 and re- registered in 2015 and 2023 consecutively under NGO Act with registration NO:00NGO/R1/00178. The re-registration aimed to position the Network to operate within existing ECD landscape in the country. Among the objectives one is “…to develop and maintain an active ECD network through strong institutional links between ECD related organizations”. What started out as the inter Organizational Committee naturally developed into the formation of the national network of ECD stakeholders now known as TECDEN.

TECDEN is determined to collaboratively work with other networks, coalitions, institutions, the private sectors, the government, development partners and other potential stakeholders to influence policies, programs and practices related to Early Childhood Development (ECD). This can be achieved through sharing of information, experience and generating knowledge; and understanding of ECD; and work towards early investments in young children of 0 – 8 years in Tanzania.

TECDEN coordinates non-state actors across the Country with Network members of about fifty-three (53) Regular members, fourteen (20) strategic members and forty-five (49) affiliate members. TECDEN works with key ECD Ministries across all five Nurturing Care framework domains.

Tanzania has over 9.5 million children under five, yet fewer than 5% access to formal childcare. Most people depend on u...
28/05/2026

Tanzania has over 9.5 million children under five, yet fewer than 5% access to formal childcare. Most people depend on unregulated, home-based, and informal arrangements. Childcare is vital for achieving child development outcomes, promoting gender equality, and empowering women economically, while
also complement many other sustainable development commitments.

Despite several relevant ECD-related policies such as the Law of the Child Act (2009), Child Development Policy (2008), the Education and Training Policy (2014), and gender policy and strategies, the childcare sector remains fragmented, underfunded, and inequitable.
.affairs.canada

26/05/2026

Big moves for Tanzania’s littlest citizens! 🇹🇿✨

​When civil society and the Government lock hands, real change happens. TECDEN, ECD Stakeholders and the Government of Tanzania are officially taking the National Multi-Sectoral ECD Programme (NM-ECDP) 2021/22-2025/26 to the next level!

​We aren't just talking about the future; we are actively building it. By embedding Early Childhood Development right into the heart of our national agenda, this powerhouse collaboration is ensuring that every child aged 0-8 gets the nutrition, health, safety, and early learning they deserve.

​Investing in a child’s first 8 years isn't just a good deed it’s the ultimate blueprint for sustainable national growth.

​Drop a 🙌 in the comments if you believe our children deserve the best start in life!

​👇 Tag someone who needs to see this major milestone today.


Giving .tanzania ifakarahealth

25/05/2026

It takes a village to raise a child—but what happens when that village isn't talking to each other? 🧩

When healthcare, nutrition, and early learning operate in isolated silos, our children are the ones who miss out. One child’s future requires a completely unified community effort.

That’s where TECDEN comes in.

We don’t just run isolated projects. We are the bridge. TECDEN coordinates the entire non-state actor ecosystem across all 26 regions of mainland Tanzania. Together, we are driving the National Multi-Sectoral ECD Programme (NM-ECDP) forward to ensure no child is left behind.

Because early childhood development isn't a single-sector job it’s a collective mission.

👇 Let’s connect: How is your organization breaking down silos for children in your region? Drop a comment below!


@

🧠 JE, UNAJUA? Asilimia 90% ya ubongo wa mwanadamu unakua na kukamilika katika kipindi cha katika kipindi cha miaka 5!​Ku...
22/05/2026

🧠 JE, UNAJUA? Asilimia 90% ya ubongo wa mwanadamu unakua na kukamilika katika kipindi cha katika kipindi cha miaka 5!

​Kulingana na Sensa, Tanzania ina zaidi ya watoto milioni 16.6 wenye umri wa miaka 0-8 (takriban 27% ya idadi ya watu). Hili ni kundi la kimkakati ambapo rasilimali watu na uchumi wa kesho wa Taifa letu unatengenezwa.

​💡 Faida za Kulinda na Kuwekeza kwenye Kundi Hili:
Tafiti zinaonyesha kila dola $1 inayowekezwa kwenye huduma za umri mdogo, inaleta faida ya hadi dola $13 hadi 17 baadaye kupitia:

​🎓 Ufaulu Mkubwa: Watoto wanakuwa na utayari wa kusoma na kupunguza kufeli.

​📈 Uchumi Imara: Tunatengeneza nguvu kazi mahiri, yenye IQ kubwa na ubunifu.

​🛡️ Usalama wa Taifa: Watoto wanaolindwa na kupata upendo wanakuwa raia wema, hatua inayopunguza uhalifu.

​🩺 Afya Bora: Inapunguza gharama za matibabu kwa familia na Serikali hapo baadaye.

​Kuanzia mwaka 2021, TECDEN kupitia Mradi wa Mtoto kwanza unaofadhiliwa na Hilton Foundation pamoja na Children in Crossfire kwa kushirikiana na Wizara za kisekta, Asasi za Kiraia, Mikoa na Halmashuri, tumekuwa mstari wa mbele kuchangiza utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM).

​📌 Mambo Muhimu Tunayoyafanya:
1. ​Tafiti za Kisayansi kwa kupata taarifa za viashiria mbalimbali vya MMMAM kuwezesha maamuzi sahihi yenye takwimu

2. ​Uchechemuzi wa Sera kwa kuingiza masuala ya malezi na ulinzi kwenye Dira ya Maendeleo ya Taifa.

3. ​Mapitio na Ufuatiliaji kwa kufanya tathmini ya programu ngazi zote (Pichani: Mapitio ya Mkoa wa Mtwara yaliyofanyika tarehe 15/05/2026).

4. Uhamasishaji wa Bajeti kwa kuchangiza utengaji wa fedha kwenye afya, lishe,ulinzi wa mtot na elimu ya awali.

5. ​Elimu ya Malezi, Makuzi na MaendeleoyaAwaliyaMtoto kwa kutoa mafunzo ya sayansi ya malezi kwa wazazi na jamii.

6. Uaandaji wa mifumo ya ufuatiliaji wa huduma za malezi kwa utekelezaji wa Kadi alama inayopima viashiria mbalimbali za afua za malezi makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto.

​Ulinzi na uwekezaji kwa mtoto wa miaka 0-8 sio hiyari, ni msingi wa maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania yetu. Tuungane sote leo!

Tunajenga Leo na Kesho ya Tanzania! Watoto Milioni 16.6 Ndio Injini ya Dira 2050.​Je, ulijua kuwa takriban 27% ya Watanz...
20/05/2026

Tunajenga Leo na Kesho ya Tanzania! Watoto Milioni 16.6 Ndio Injini ya Dira 2050.

​Je, ulijua kuwa takriban 27% ya Watanzania wote ni watoto wa miaka 0 hadi 8? Hiyo ni zaidi ya watoto milioni 16.6! Huu ni msingi wa rasilimali watu utakaofanya kazi kuelekea mwaka 2050.

​Kuanzia tarehe 20 hadi 24 Aprili 2026, TECDEN kupitia mradi wa Mtoto Kwanza ilifanya ziara ya Kitaifa ya Usimamizi Shirikishi Saidizi. Ziara hii ilifanyika kwa ushirikiano na , , na Wizara za Kisekta: ​Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu wenye Ulemavu),​ ,​, ​, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na asasi zinazotekeleza Mradi wa Mtoto kwanza. ​Usimamizi huu ulifanyika mikoa ya: Mwanza, Morogoro, Katavi, Rukwa, Dar es Salaam, Tanga, Njombe, Singida, Simiyu, Lindi, na Tabora.

​KWA NINI UWEKEZAJI HUU NI LAZIMA SASA?
​90% ya Ubongo: Ubongo wa mtoto hukua kwa zaidi ya 90% kabla ya miaka 5. Programu hii inalenga kuweka nguvu ya pamoja katika uwekezaji wa rasilimali watu yenye tija.

​Nguvu Kazi ya Dira 2050: Watoto hawa watakuwa na umri wa miaka 24–32 ifikapo 2050. Tukiwaacha wadumae leo, tunadumaza uchumi wa kesho.

​Uratibu wa Pamoja na utoaji huduma jumuishi: Changamoto za lishe, Elimu, afya, na ulinzi na usalama wa mtoto zinahitaji ushirikiano wa wadau na serikali ili rasilimali zifike ngazi ya jamii.

​Uwekezaji Wenye Tija Kubwa Kiuchumi: Gharama ya kuingilia kati na kurekebisha madhara ya makuzi mabaya ukubwani ni kubwa mno kuliko gharama ya kuwekeza sasa katika lishe, malezi, na elimu ya awali.

​Uwezeshaji wa Wanawake: Mifumo bora ya malezi ya awali inampa mama utulivu wa kushiriki kikamilifu katika shughuli za uchumi wa taifa.

​Utafiti unaonesha: Kila dola 1 inayowekezwa kwenye maendeleo ya awali ya mtoto, inarudisha faida ya hadi mara 13 hadi 17 kwenye uchumi wa taifa baadae.

​Kuelekea Dira 2050, tunatoa wito kwa serikali na wadau nchini: Ni wakati wa kuhamisha ajenda hii kutoka kwenye makaratasi na kuiweka kwenye mafungu ya fedha! Tunahitaji utengaji wa makusudi wa rasilimali fedha na kuingiza mipango inayopimika katika bajeti za serikali na Wadau.

Last week (6-8 May 2026), The Tanzania ECD Network, represented by our Executive Director, Mwajuma Kibwana, and Programm...
14/05/2026

Last week (6-8 May 2026), The Tanzania ECD Network, represented by our Executive Director, Mwajuma Kibwana, and Programme Manager, Lazaro Ernest, joined global leaders, researchers, and civil society partners in Kigali, Rwanda, for the Investing in the Early Years: Global Technical Financing Forum.

Organized by Early Childhood Development Action Network (ECDAN), The National Child Development Agency - Rwanda, The African Early Childhood Network (AfECN), UNESCO, UNICEF, and the World Health Organization, the forum served as a critical steppingstone toward the 2027 International Financing Summit for Early Childhood.

For TECDEN, key takeaways include
➡️ New approaches to Public Expenditure Reviews through the AMPERA tool, helping governments analyze ECD investments more quickly, affordably, and effectively.

➡️ Practical pathways for building bold, measurable, and funded commitments ahead of the 2027 International Financing Summit for Early Childhood.

➡️ Strategies for mobilizing business investment and strengthening cross-sector partnerships to support young children and families.

As we look toward the future, Tanzania ECD Network remains committed to ensuring that data-driven accountability and robust public financing systems remain at the heart of Tanzania's ECD agenda 🇹🇿

01/05/2026

*WADAU WA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO WASISITIZA UTENGAJI WA BAJETI KWA AJILI YA MAENDELEO YA AWALI YA...
29/04/2026

*WADAU WA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO WASISITIZA UTENGAJI WA BAJETI KWA AJILI YA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO.*

TECDEN kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo, umesisitiza umuhimu wa uwekezaji wa kimkakati katika Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (MMMAM) k**a msingi imara wa rasilimali watu ya Taifa.

Wakizungumza Aprili 29, 2026, katika mafunzo ya siku moja kwa K**ati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii yaliyoandaliwa na Wizara kwa kushirikiana na TECDEN na wadau wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto, Wamesisitiza kuwa kuwekeza kwa watoto wa miaka 0-8 ni hitaji la lazima kwa mustakabali wa Taifa letu.

“Ni rahisi kumjenga mtoto imara na shupavu kuliko kumrekebisha mtu mzima mwenye shida ya kimakuzi. Hivyo, ni lazima tuelekeze nguvu na rasilimali zetu katika kipindi hiki cha awali,” walisisitiza wadau hao wakati wa wasilisho mbele ya K**ati ya Bunge…”

Wadau hao wameainisha maeneo matatu muhimu ya kutiliwa mkazo:
1️⃣ Utengaji wa bajeti maalum kwa ajili ya huduma za Malezi, makuzi na maendeleo ya Awali ya Mtoto (MMMAM).
2️⃣ Uanzishwaji na usimamizi wa vituo salama vya kulelea watoto mchana nchi nzima.
3️⃣ Kuimarisha mifumo ya malezi kuanzia ngazi ya familia/nyumbani.

Mkurugenzi wa TECDEN ndugu Mwajuma Kibwana amewaomba Waheshimiwa Wabunge kutumia nafasi yao ya kuisimamia Serikali kuhakikisha kunakuwepo na fungu maalum la bajeti kwa ajili ya MMMAM ili kuchochea utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi na Makuzi.

Mafunzo hayo yamehudhuriwa na Wajumbe wa K**ati ya Bunge, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Malaamu, Viongozi wa Wizara, na wawakilishi kutoka mashirika ya , , , Girl Effect, Ifakara Health Institute, BRAC Maendeleo, na Montessori Community Tanzania.

MAANDALIZI YA ZIARA YA KITAIFA YA UFUATILIAJI UTEKELEZAJI WA PROGRAMU JUMUISHI YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI Y...
18/04/2026

MAANDALIZI YA ZIARA YA KITAIFA YA UFUATILIAJI UTEKELEZAJI WA PROGRAMU JUMUISHI YA MALEZI, MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO (PJT-MMAMM).

​Leo, tarehe 18 Aprili 2026, kimefanyika kikao muhimu cha maandalizi ya ziara shirikishi inayolenga kufanya ufuatiliaji na kuona hatua za utekelezaji wa Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMAMM) ngazi na Mkoa na Halmashauri.

Kikao hicho kimeandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI kwa kushirikiana na TECDEN, kikiwa ni sehemu ya maandalizi ya ziara itakayofanyika katika mikoa 11 ya ambayo ni: Mkoa wa Dar es Salaam, Lindi, Mwanza, Singida, Simiyu, Morogoro, Rukwa, Katavi, Tanga, na Njombe.

​Kikao hiki kimejumuisha wadau kutoka wizara za kisekta na taasisi mbalimbali, ikiwemo: Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Wadau wa Maendeleo: TECDEN, Children in Crossfire, na Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC).

​Lengo kuu la ziara hii inayokuja ni kuendelea kuchagiza na kuimarisha masuala yanayohusu watoto wenye umri wa kuanzia miaka 0 hadi 8. Kupitia ziara hii, serikali na wadau wanakusudia kuhakikisha kuwa ajenda ya malezi na makuzi inapewa kipaumbele cha juu katika mipango ya maendeleo na utengaji wa bajeti, ili kujenga msingi imara kwa mustakabali wa watoto wa Kitanzania.

TECDEN pamoja na wadau mbalimbali tunaendelea kushirikiana na serikali ili kuhakikisha kuwa masuala yote yanahusu malezi makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto yanapewa kipaumbele katika bajeti na mipango mbalimbali ya serikali. Hatua hii inachangia utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2050. "Watoto wote wa kika na kiume wapo kwenye mwelekeo sahihi wa kufikia ukuaji timilifu angalau kwa asilimia 90"


Tunatakiwa Kukata Mzizi, Sio Matawi: Malezi ya Awali ni Kinga kwa Mtoto!​Jana, Mtandao wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya...
03/04/2026

Tunatakiwa Kukata Mzizi, Sio Matawi: Malezi ya Awali ni Kinga kwa Mtoto!

​Jana, Mtandao wa Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto Tanzania (TECDEN) ulishiriki mkutano muhimu jijini Dodoma (Nkuhungu), ambapo Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mh. Dkt. , alitoa taarifa kuelekea Siku ya Kimataifa ya Mtoto Anayeishi na Kufanya Kazi Mtaani (12 Aprili 2026).

​📍 Kwa nini TECDEN Ipo Hapa?

​Watoto wengi wanaoishia mitaani ni matokeo ya changamoto zinazoanza nyumbani wakati wa miaka 0–8. Ili kutatua changamoto hii kudumu, ni lazima tuwekeze nguvu kwenye Malezi na Makuzi ya Awali ya Mtoto.

​Umuhimu wa Malezi na Makuzi katika Kutatua Changamoto ya Watoto wa Mtaani:

​Ulinzi na Usalama (Protection): Mtoto anayepata malezi yenye upendo na ulinzi katika miaka ya awali anakuwa na fungamano imara (attachment) na familia yake, jambo linalopunguza uwezekano wa yeye kukimbilia mtaani.

​Msingi wa Maisha: Asilimia 90% ya ubongo wa binadamu hujengeka kabla ya umri wa miaka mitano. Tukichelewa kuingilia kati, tunatengeneza pengo la kijamii linalopelekea watoto kukosa mwelekeo.

​Afya ya Akili na Hisia: Malezi bora yanamsaidia mtoto kuwa na ustahimilivu (resilience) dhidi ya changamoto za kiuchumi na kijamii zinazoweza kuikumba familia.

​Uchumi wa Taifa: Uwekezaji katika miaka ya awali unapunguza gharama ambazo Serikali ingeingia baadaye kurekebisha tabia au kutoa huduma za uokozi kwa watoto waliokumbwa na majanga ya mitaani.

​"Mtoto wa mtaani leo, alikuwa mtoto wa nyumbani jana. K**a tukiboresha huduma za malezi, lishe, na ulinzi katika ngazi ya familia leo, tutakuwa na mitaa salama kesho." — TECDEN

​Tunaungana na Mh. Dkt. Gwajima na Wizara yote kutoa wito kwa wazazi, walezi, na jamii kwa ujumla: Tujenge msingi bora wa watoto wetu sasa, ili kuwalinda na mazingira magumu ya kesho.

Address

Area D/Mlimwa East Plot Number 30 Block K. P. O. Box, 4104
Dodoma
41105

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00

Telephone

+255755446540

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania ECD Network posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania ECD Network:

Share