Environment Media Agenda - EMA

Environment Media Agenda - EMA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Environment Media Agenda - EMA, Non-Governmental Organization (NGO), KwaMadebe Street, Mjini Magharibi A, Plot no. 31, Kongwa District, Dodoma.

Environment Media Agenda (EMA) is a non-governmental organization registered in Tanzania under the NGO Act 2002, dedicated to mainstreaming environment agenda through innovative communication channels and implementing projects to promote sustainable management of natural resources and to improve the general environment in Tanzania.

01/01/2026
Wana klabu ya mazingira ya shule ya sekondari Mnyakongo katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Deborah Chilonwa na Irene...
24/12/2025

Wana klabu ya mazingira ya shule ya sekondari Mnyakongo katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Deborah Chilonwa na Irene Mkanda wameamua kujiunga k**a wafanyakazi wa kujitolea wa asasi ya EMA baada ya kumaliza elimu yao ya sekondari hivi karibuni, ili kuendeleza juhudi zao za kutunza mazingira.
Pichani ni Deborah na Irene wakijitambulisha mbele ya wanufaika wa miradi inayoratibiwa na asasi ya EMA, ambapo baada ya hapo Mwanzilishi na Mwenyekiti wa asasi ya EMA, Secelela Balisidya aliwakabidhi sare ya Tshirt za wafanyakzi wa EMA ikiwa ni ishara ya kuwakaribisha rasmi katika asasi.

25/06/2025

DAR ES SALAAM: SECELELA Balisidya ni mwanahabari aliyeamua kutumia kalamu yake kuhabarisha umma kuchangamkia fursa za mazingira.Kwa sasa Balisidya kuptia as...

Address

KwaMadebe Street, Mjini Magharibi A, Plot No. 31, Kongwa District
Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Environment Media Agenda - EMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share