Tanzania Youth Bright Future Organization-Tybfo

Tanzania Youth Bright Future Organization-Tybfo Tunakufungulia Fursa

TYBFo ni asasi isiyo ya kiserikali inayolenga kuwaimarisha Vijana kwa kuwajengea Maarifa na Ujuzi wa Kutambua na kutatua changamoto zinazoikabili jamii katika nyanja mbalimbali!

About us!🤝Grow with us.
10/12/2021

About us!
🤝Grow with us.

Tukiwa tunaadhimisha siku ya binti Duniani,kauli mbiu ya "Kizazi cha kidijitali;Kizazi Chetu" inasisitiza juu ya umuhimu...
11/10/2021

Tukiwa tunaadhimisha siku ya binti Duniani,kauli mbiu ya "Kizazi cha kidijitali;Kizazi Chetu" inasisitiza juu ya umuhimu wa matumizi ya teknolojia katika kuimarisha haki za mabinti hususani katika masuala ya elimu,afya,utamaduni,n.k. Kwa mjibu wa takwimu zaidi ya vijana bilioni 2.2 Duniani chini ya miaka 25 hawapati huduma ya mtandao ambapo vijana wa k**e wakiwa nyuma zaidi kwa 43%.

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya muungano.
26/04/2021

Tunawatakia maadhimisho mema ya siku ya muungano.

02/04/2021

Tunawatakia wakristo na watanzania wote maadhimisho mema ya Ijumaa kuu.

tybfo2020 tunatoa salamu za pole kwa Makamu wa Rais Mh. Samia H. Suluhu kwa niaba ya watanzania kufuatia kifo cha Rais w...
17/03/2021

tybfo2020 tunatoa salamu za pole kwa Makamu wa Rais Mh. Samia H. Suluhu kwa niaba ya watanzania kufuatia kifo cha Rais wa awamu ya tano,Mh. Dkt. John Joseph Pombe Magufuli. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi,Amina.

Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukeketaji Duniani,inakadiriwa kuwa zaidi ya wasichana milioni 4.16 wapo kati...
06/02/2021

Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya kupinga ukeketaji Duniani,inakadiriwa kuwa zaidi ya wasichana milioni 4.16 wapo katika hatari ya kukeketwa Duniani huku gharama za kumkinga msichana mmoja dhidi ya ukeketaji ni $95.
Ni vijana wetu ni budi kuungana sote kuwalinda dhidi ya ukeketaji ili kufikia 2030 azima ya kutokuwa na ukeketaji iweze kufikiwa.

Karibu FEBRUARITunaishi Dunia moja yenye mapito tofauti,yenye machungu na furaha! Mwenyezi MUNGU awajalie uvumilivu wale...
31/01/2021

Karibu FEBRUARI
Tunaishi Dunia moja yenye mapito tofauti,yenye machungu na furaha! Mwenyezi MUNGU awajalie uvumilivu wale wote wanaopitia changamoto na shida mbalimbali. Riziki njema kwa watafutaji pia.

Waswahili wanasema " hata mbuyu ulianza k**a mchicha na umoja ni nguvu".    nasi nia yetu ni kuwa mbuyu tena wa jangwani...
29/01/2021

Waswahili wanasema " hata mbuyu ulianza k**a mchicha na umoja ni nguvu". nasi nia yetu ni kuwa mbuyu tena wa jangwani wenye kuhimili changamoto zote. Hivyo ewe mdau una nafasi yako ya kutufanya tufikie maono haya ya kuwaimarisha vijana wetu kwa kutuwezesha kifedha,kimawazo,rasilimali na msaada wa namna yoyote ile ili tusonge mbele zaidi!

21/01/2021

Maana ya rafiki Kimahesabu
Kuna aina 2 za marafiki kimahesabu;
1. Rafiki "0"
2. Rafiki "1"
Kulingana na vijana wa pythagorasi wanaoamini kila kitu ni hesabu,rafiki bora ni "1" yaani hana madhara hasi kwako na atabaki nawe daima.
Kuna swali hapo? Je,rafiki wako ni "0" au "1"?

Tunakutakia heri ya mwaka mpya 2021
01/01/2021

Tunakutakia heri ya mwaka mpya 2021

29/12/2020
Heri ya Christmas
25/12/2020

Heri ya Christmas

24/12/2020

KUMEKUCHA
"Tutekeleze majukumu yetu,kamwe tusivunjike moyo kwa kufikiria mambo yasiyoonekana,tufanye yanayowezekana leo maana hakuna mwenye uhakika wa kuiona kesho."

11/12/2020

Unayoona kazi mbaya kuna mwingine anakesha aipate hata hiyo kazi mbaya lakini hapati. Thamini Kazi Yako.

09/12/2020

Heri ya Maazimisho ya Siku ya Uhuru na Jamhuri,Tanzania.

29/11/2020

Andaa mipango yako ya mwezi ujao,Tekeleza Pia!

Address

Kikuyu Street
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Youth Bright Future Organization-Tybfo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania Youth Bright Future Organization-Tybfo:

Share