Devine City

Devine City Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Devine City, Non-Governmental Organization (NGO), Uhindini, Dodoma.

Apartment nzuri ndani ya Dodoma 📌 Full furnished apartment 📌 1 bedroom, 2 Bedroom hadi 3 bedroom kwa bei nzuri  (afforda...
15/02/2024

Apartment nzuri ndani ya Dodoma

📌 Full furnished apartment
📌 1 bedroom, 2 Bedroom hadi 3 bedroom kwa bei nzuri (affordable)
📌 secured car parking
📌 Free wifi
📌 Heater (Hot water)
📌 All cooking basics

▫️Azam tv decoder with 43" HD TV
▫️ price - 1 bedroom 90,000/=
- 2 bedroom 100,000/=
- 3 bedroom 150,000/=

Call me please for more information 0684520478, 0679400206

Karibuni kwenye maonyesho ya nane nane Ujipatie kiwanja chako pale IHUMWA, MAHOMA MAKULU, na MTUMBA Viwanja vyetu vimepi...
08/08/2023

Karibuni kwenye maonyesho ya nane nane

Ujipatie kiwanja chako pale IHUMWA, MAHOMA MAKULU, na MTUMBA

Viwanja vyetu vimepimwa, ni vikubwa na vizuri kwa matumizi ya makazi, makazi na biashara

Bei zetu ni rahisi, na ulipaji ni kwa awamu mbili tu; awamu ya kwanza unalipa nusu 50% na awamu ya pili unamalizia kwa kulipa kidogo kidogo hadi miezi 12

Karibuni sana nane nane kwenye banda letu lipo mkabala na geti la kuingia maliasili na utalii (kwenye geti la kuona wanyama)

Mawasiliano
Unaweza tupigie kwa namba 0679400206
Unaweza fika ofisini kwetu karibu na manispaa ya zamani

MRADI WA IHUMWA●Viwanja ni vya Makazi, Makazi na Biashara na Taasisi●Mradi upo karibu na Bandari kavu ●Upo mita 150 kuto...
04/07/2023

MRADI WA IHUMWA

●Viwanja ni vya Makazi, Makazi na Biashara na Taasisi
●Mradi upo karibu na Bandari kavu
●Upo mita 150 kutoka barabara ya mzunguko ( ringroad).
●Mradi upo karibu na station ya SGR ya Ihumwa.
●Bei ni Tsh 6,500 kwa kila mita za mraba.
●Malipo ni kwa awamu, awamu ya kwanza ni 50%, awamu ya pili ni kidogo kidogo kwa hadi miezi 12.

Pia tuna Viwanja vya kimkakati maeneo ya *Nzuguni
*Kisasa
*Mwangaza
*Itega
*Njedengwa
*Ilazo
*Area D
*Mlimwa C

OFA OFA KABAMBE YA MSIMU HUU WA PASAKA KARIBU SANA UTUMIE FURSA HII KUMILIKI KIWANJA DODOMA.
07/04/2023

OFA OFA KABAMBE YA MSIMU HUU WA PASAKA KARIBU SANA UTUMIE FURSA HII KUMILIKI KIWANJA DODOMA.

We wish y’all A Great One!
02/01/2023

We wish y’all A Great One!

Ofa ya Robo Ya Mwisho Wa Mwaka 2022Kuanzia 2.5 M Tunakupatia Kiwanja Kizuri, Sehemu Nzuri Kabisa.- Barabara Nzuri (inawe...
05/10/2022

Ofa ya Robo Ya Mwisho Wa Mwaka 2022
Kuanzia 2.5 M Tunakupatia Kiwanja Kizuri, Sehemu Nzuri Kabisa.
- Barabara Nzuri (inawekwa lami)✔
- Watu wanaishi
- Ni pazuri ni potential sana
Call us/ WhatsApp 0679 400 206/0625 63 82 62
⁣⁣⁣⁣⁣
🇺🇬 via

Bwana Lucas Lazaro Mhuvile  Anatukumbusha kutorudia Makosa kwa Jiji La Dodoma! 😅😅
04/10/2022

Bwana Lucas Lazaro Mhuvile Anatukumbusha kutorudia Makosa kwa Jiji La Dodoma! 😅😅

18/05/2022


Address

Uhindini
Dodoma

Telephone

+255679400206

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Devine City posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Devine City:

Share