Conservation Farming Unit Tanzania

Conservation Farming Unit Tanzania Lengo kuu la CFU-Tanzania ni kuendeleza Kilimo Hifadhi hapa nchini kwa kutoa mafunzo kwa kwakulima wadogo kupitia Wakulima Viongozi na Mafisa Ugani.

Conservation Farming Unit (CFU)-Zambia ni shirika ambalo kwa takiribani miaka 20 limekuwa likijishughlisha na uendelezaji wa Kilimo Hifadhi kwenye ukanda wa Kusini mwa bara la Afrika. Kwa sasa CFU imefungua shirika
dada hapa Tanzania ambalo linaitwa CFU-Tanzania. Kwa sasa CFU-Tanzania inatekeleza mradi wa miaka mitano (Nov. 2014-Oct.2019) wa Kilimo Hifadhi unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la

Norway (Norad) kupitia Baraza la Kilimo Tanzania (ACT) linalotekeleza program ya Ubia wa Kilimo Tanzania (TAP) awamu ya pili. Mradi huu unatekelezwa kwenye wilaya tano (5) ambazo ni: Same, Moshi Vijijini, Monduli, Babati na Kiteto.

Address

Plot 501/2 Royboos Street, Mikocheni
Dar Es Salam
78851

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255222780539

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Conservation Farming Unit Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Conservation Farming Unit Tanzania:

Share