Tanzania Association of the Deaf - Chavita

Tanzania Association of the Deaf - Chavita Equal and Rights for All Deaf people in Tanzania

Tanzania Association of the Deaf popularly known by its Kiswahili acronym “CHAVITA” (CHAMA CHA VIZIWI TANZANIA) is a non – Governmental Organisation (NGO) dedicated to the advancement of Deaf people in the United Republic of Tanzania. It was formed in 1983 and officially registered on September 4th, 1984 with registration No: SO. 6466 under Societies ordinance rules of 1954 of the United Republic

of Tanzania and thereafter changes made under CAP.337 and attained Registration number NGO 1878. CHAVITA was established to address the problems experienced by Deaf people in Tanzania and to improve their life standards. These problems result in isolation and stigmatisation of Deaf people within their communities, and as a result, they tend to be among the poorest. Deaf people are more likely to have incomes below the poverty line and have no assets to cushion themselves against shocks, they are more vulnerable socially and economically. They are more likely to have lower education and poorer health, and to be poorly nourished, they are often outside of social services and social security, segregated, discriminated against and denied the right to use their own language. We CHAVITA as pressure group ensures the right of deaf people are attained through lobbying and advocacy as formulated in our mission and vision

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, walichangia mijadala kuhusu urasimishaji wa wakalimani wa Lugha ya ...
13/05/2026

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, walichangia mijadala kuhusu urasimishaji wa wakalimani wa Lugha ya Alama, mjadala huu ulifanyika baada ya kukutana na Uongozi wa Chama Cha Viziwi Tanzania, watendaji wa Serikali na wadau wengine kujadili changamoto za kutokamilika kwa Mwongozo wa huduma ya Ukalimani

Kikao  cha mashauriano na kuweka mkakati wa urasimishaji wa tansia ya ukalimani wa  lugha ya alama Tanzania huku naibu W...
11/05/2026

Kikao cha mashauriano na kuweka mkakati wa urasimishaji wa tansia ya ukalimani wa lugha ya alama Tanzania huku naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu wa Watu Wenye Ulemavu) Mhe. Ummy H. Nderiananga Akisisitiza umuhimu wa kuharakisha mwongozo huo wa urasimishaji wa tasnia ya Ukalimani wa Lugha Ya Alama Tanzania

Kikao kilichoandaliwa na Chama Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) na kuhudhuriwa na viongozi wa shirikisho la Vyama Vya Watu wenye ulemavu (SHIVYAWATA) , Wabunge, Wawakilishi kutoka Wizara ya Habari na Mawasiliano, Ofisi ya Waziri Mkuu, Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), Mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA), pamoja na waandishi wa habari.

Aidha Mh. Ummy Ndereananga amesema kua serikali itaendelea kushirikiana na wadau mbali mbali kuandaa miongozo na kanuni zitakazo saidia kusimamia taaluma hiyo, huku akihimiza jamii kuongeza uelewa wa matumizi ya Lugha Ya Alama ili kuondoa vikwazo vya mawasiliano

Washiriki wa kikao hicho wakiwemo Wabunge wameitaka serikali kuipa kipaumbele tasnia hiyo, wakisisitiza umuhimu wa wa ajira kwa wakalimani wa Lugha ya alama katika sekta zote, pamoja na kuimarisha mafunzo ya utambuzi wa taaluma hiyo ili kuiboresha

We were delighted to host programme officer from Disability Rights Fund  (DRF) Ms. Chrissy Zimba from  Malawi in our Nat...
07/05/2026

We were delighted to host programme officer from Disability Rights Fund (DRF) Ms. Chrissy Zimba from Malawi in our National Headquarters office today.

During her visit we discussed commitment to strengthen inclusive systems and advancing the access of Sign Language and Sign Language Interpreters across all social services to harmonize full inclusion to the deaf community in Tanzania, The support from DRF plays a vital role in uplifting the deaf day to day lives though this engagement

We are committed to deepen this partnership and working hand to hand with DRF and other stakeholders to strive for the rights of the deaf community in Tanzania.

26/04/2026
My Right, together Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Made a visit at CHAVITA HQ to discus...
15/04/2026

My Right, together Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA)
Made a visit at CHAVITA HQ to discuss matters on how to strengthening the inclusion of persons with disabilities

Through focused collaboration and dialogue we are identified future engagements and opportunities to benefit the deaf community in Tanzania fans

03/04/2026

Warsha wa kujenga uelewa wa utekelezaji wa mipango ya uendelevu wa kifedha na uchechemuzi wa haki za wanawake na wasicha...
30/03/2026

Warsha wa kujenga uelewa wa utekelezaji wa mipango ya uendelevu wa kifedha na uchechemuzi wa haki za wanawake na wasichana viziwi wa wilaya ya Tanga

Kwa kushirikiana na ADD international tunapenda kuona ustawi wa wasichana na wanawake wenye ulemavu katika jamii zetu wakijishughulisha na kujumuishwa katika masuala ya mipango na uchumi..

Wanawake na wasichana Viziwi wa Wilaya ya Dodoma mjini, walifikiwa na mafunzo ya kujengewa uwezo wa namna ya kunufaika n...
26/03/2026

Wanawake na wasichana Viziwi wa Wilaya ya Dodoma mjini, walifikiwa na mafunzo ya kujengewa uwezo wa namna ya kunufaika na fursa za huduma za kifedha na uchumi ili kujenga uchumi wao kuondokana na umasikini. Mafunzo haya yaliwezeshwa na Mtaalamu wa Masuala ya Watu Wenye Ulemavu Dk. William Henry Kitilla kwa ufadhili wa kifedha kutoka taasisi ya ADD International ya Uingereza ambayo imetoa Ufadhili huo kwa CHAVITA Makao Makuu fans

Caption :  Mafunzo ya utetezi wa haki ya matumizi ya Lugha ya Alama kwa kundi lililo pembezoni la wamasai, waarusha na w...
24/03/2026

Caption : Mafunzo ya utetezi wa haki ya matumizi ya Lugha ya Alama kwa kundi lililo pembezoni la wamasai, waarusha na wameru wamefanyika jijini Arusha kwa kukutanisha makundi hayo kutoka wilaya za Meru, Arusha na Monduli.

Mradi huu unatekelezwa na CHAVITA Makao Makuu kwa usaidizi wa kifedha kutoka taasisi ya Disability Rights Fund ya Marekani.

KIKAO CHA MAANDALIZI YA WIKI YA KIMATAIFA YA VIZIWI DUNIANI 2026.Ujumbe wa CHAVITA Makao makuu ulikutana na uongozi wa C...
19/03/2026

KIKAO CHA MAANDALIZI YA WIKI YA KIMATAIFA YA VIZIWI DUNIANI 2026.

Ujumbe wa CHAVITA Makao makuu ulikutana na uongozi wa CHAVITA mkoa wa Kilimanjaro, Katibu tawala wilaya ya Moshi na Mkurugenzi Mtendaji wa Halimshauri ya Manispaa ya Moshi na kufanya kikao cha awali cha maandalizi ya maadhimisho ya wiki ya kimataifa ya Viziwi kitaifa itakayofanyika tarehe 21-26 septemba 2026 mjini Moshi.

Tunatarajia kuwa na maadhimisho ya mfano kwa mwaka huu 2026.

Address

Dar Es Salam

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:00
Tuesday 08:00 - 15:00
Wednesday 08:00 - 15:00
Thursday 08:00 - 15:00
Friday 08:00 - 15:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Association of the Deaf - Chavita posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania Association of the Deaf - Chavita:

Share