08/03/2026
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote.
Leo Wanawake na Wasichana viziwi tunasherehekea nguvu, ujasiri na mchango mkubwa wa mwanamke katika familia, jamii na taifa. Tuendelee kuamini katika uwezo wetu, kushik**ana na kuunga mkono ndoto za wanawake na wasichana wengine.
Pia tuendelee kuwashirikisha wanaume k**a washirika muhimu katika kujenga jamii yenye usawa, heshima na fursa kwa wote.