Upendo Familia Group

Upendo Familia Group Upendo Familia ni kikundi kisichokuwa cha serikali, ni cha kihiari kisichokuwa na misingi ya Siasa,U

Upendo Familia ni kikundi kisichokuwa cha serikali, ni cha kihiari kisichokuwa na misingi ya Siasa,Ukabila, Rangi, mahali watu fulani wanapotoka, familia, udini wala jinsia fulani ya watu. Bali dhumuni la kikundi cha Upendo Familia ni kusaidiana kwenye shida na raha na kuweza kukua na kufikia malengo mbali mbali na hata kuanzisha miradi mbalimbali itakayotunisha mfuko wa kikundi na hatimaye kuwa na kikundi imara.

Address

Ilala, Amana
Dar Es Salam

Telephone

+255712791272

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Upendo Familia Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Upendo Familia Group:

Share